Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Waziri huyu kila wizara aitumikiayo huja na maono endelevu na kuacha alama.
Alipokuwa nishati alibuni mambo mengi ikiwa ni pamoja na ugavi wa mitungi ya gesi bure. Gesi ikiisha ni lazima baadhi ya wagaiwa watanunua tena hata ikiwa hawakuwa na utamaduni wa kutumia gesi.
Sasa akiwa waziri wa nje ameibuka na ujenzi wa maghorofa ya serikali Nairobi, kigali, Lusaka, Kinshasa, Tokyo nk.
Miradi hii itakuwa ofisi za ubalozi, makazi ya maafisa wetu huko na sehemu nyingine zitakodiwa na hivyo kuingizia serikali yetu fedha kupitia Foreign ministry.
Ataanza na ujenzi wa majengo pacha Nairobi huku kila ghorofa likiwa na ghorofa 22 na kufanya jumla 44.
Baada ya kukamilika ujenzi ktk miji mikuu tajwa, serikali yetu itapata kodi ya Tsh 34 billion kwa mwaka na itakuwa ikiongezeka kadiri muda uendavyo.
Kongole kwako Mheshimiwa waziri, hakika una maono mno.