Mheshimiwa January Makamba ni kiongozi mbunifu mno mweye kuiona fursa adhimu

Sijawahi kumuamini huyu jamaa hata sku moja, na kila anacho gusa lazima patakua na upigaji.
Lakini ndio vile humwambii maza kitu kuhusu kijana wake pendwa huyo...
 
Badala ya kuchukua hela na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano Arusha eti tunakwenda kujenga maghorofa kenya….tena tunakwenda kuiremba kenya kwa kisingizio cha kuwekeza hahaha! Huu ni ujinga kabisa!
 
Mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh... tuache kwanza.

2025 Inatakiwa akae benchi.
 
Ni wizi kama wizi mwingine
In fact ilipashwa Balozi zoooote zifungwe zibaki 5 North America 1 Europe 1 South/ Central America 1 South & Central Africa 1 East Africa & North 1 period!
 
Timing sahihi ukizingatia Umoja wa Mataifa unapeleka watumishi wake wengi Nairobi
 
Mleta hoja ungekuwa na akili timamu usingeandika huu upuuzi!
Katika watu amabao hawajawahi kuwa wabunifu kwa lolote ni huyu makamba wako
 
Salam Makamba. Wewe ni mpumbavu na mjinga, unajengaje kiwanja cha jilani na kuacha viwanja vya nyumbani?
 
Iwapo ikiwa sii kamba itakuwa jambo la kheri🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…