Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Kama ni hivyo, basi atamzidi hata Hitler.Mjomba unaweza ukacheza risasi hata 40
Akili ni nywele waandika ujinga hawakosekani kama wewe.Bavicha wameleta hoja na vioja huku eti nao wanataka ikulu!
Kwa sababu ya kushindwa uzalendo na kutanguliza maslahi yake mbeleNdiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi...
Huoni hata aibu?Bavicha wameleta hoja na vioja huku eti nao wanataka ikulu!
Akitokea Sengerema Sec. na kwenda Nyanza Coop. Union kuwa Mkemia wa kiwandaAlikimbia ualimu akitokea wapi na akaenda wapi?
Jane mtoto wa kwanza wa Magufuli kwenye ubora wako, hongera baba kuwa presidentBavicha wameleta hoja na vioja huku eti nao wanataka ikulu!
akitokea Sengerema Sec School km Mwl wa Kemia na Hesabu 1983 aliingia mitaani na baada ya miaka 3 akaenda Mlimani UDSM hadi 1988Alikimbia ualimu akitokea wapi na akaenda wapi?
Duh bora post nyingine uwe na uhakika nazo, sina uhakika na huyu Bint km yupo haiJane mtoto wa kwanza wa Magufuli kwenye ubora wako,hongera baba kuwa president
Kabla ya kufundisha Sengerema alikuwa wapi?Akitokea Sengerema Sec. na kwenda Nyanza Coop. Union kuwa Mkemia wa kiwanda
Sasa hapo alibanwa na mkataba gani?akitokea Sengerema Sec School km Mwl wa Kemia na Hesabu 1983 aliingia mitaani na baada ya miaka 3 akaenda Mlimani UDSM hadi 1988
baada ya hapo akaajiriwa na Nyanza Co-operative Union km mtaalam wa Kemia baada ya hapo akajiunga na siasa Jimbo silikumbuki lkn baadaye likaitwa Chato.
Mleta Mada yupo sahihi mpeni majibu, hata mm nilikimbia Ualimu
Early life and political career[edit]
John Joseph Magufuli ventured into elective politics after a short period as a teacher at The Sengerema Secondary School between 1982 and 1983. He taught chemistry and mathematics. Later on, he quit his teaching job and was employed by The Nyanza Cooperative Union Limited as an industrial chemist. He remained there from 1989 to 1995, when he was elected as Member of Parliament (MP) representing Chato district.