Mheshimiwa rais Magufuli, Kwanini ulikimbia Ualimu?

Mheshimiwa rais Magufuli, Kwanini ulikimbia Ualimu?

Sababu cheo alichonacho hakatwi NHIF wala PSPF
Halipi hata TAX,hana TIN Number!Uongozi ni kuo.yesha njia kwa vitendo,kwa nini tusilipe kodi regardless ya Cheo? Hiyo ndiyo sababu kuu ya Wananchi kukwepa kulipa Kodi maana viongozi wetu wanakwepa kodi kwa sheria kinzani. Iwe Fahari na Sifa ya Uongozi wa kuchaguliwa, kuteuliwa au kusomea kulipa kodi

Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa ya mifumo ya Utawala kwa kuandika Katiba Mpya ya Wananchi. Mchakato wa awali urejelewe kuanzia ilikoishia Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Mh. Jaji Warioba. Vinginevyo Nchi hii inaangamizwa na watu kwenye Uchu wa Madaraka bila kujali madhara wanayosababisha

Kila Mtanzania Mzalendo wa kweli ataungana nani Bali kwa wazalendo maslahi, I'm sorry for disappointing you...
 
Ndiyo wakuu,

Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.

Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.

Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo,huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.

Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.

Ila tuambie,kwa nini ulikimbia ualimu??
Akikujibu nistue
 
Ndiyo wakuu,

Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.

Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.

Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo,huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.

Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.

Ila tuambie,kwa nini ulikimbia ualimu??
Mwakilishi wake ni huyu hapa johnthebaptist! Atamfikishia hili swali, na bila shaka majibu yako yatapatikana haraka iwezekanvyo. Maana Rais wetu ni Msikivu sana, Mnyenyekevu na pia ni mtu anaye wajali sana Wanyonge.
 
Kabla ya kufundisha Sengerema alikuwa wapi?
Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea Mkwawa A level akaenda JKT Makutupora Dodoma akaenda Mkwawa TTC akapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?

John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education.
 
Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea JKT mAkutupora Dodoma kenda Mkwawa kapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?
John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education
Bwashee wakati ule diploma ilikuwa haina mkataba!
 
Bwashee wakati ule diploma ilikuwa haina mkataba!
anza na Madaktari kwanini watafutwe sasa hivi huko walipo?
km ni Miataba basi ianze sasa hivi na kwa wote hata Madiwani Wabunge na Rais msitake kubadili badili kila mkijisikia
 
Kuwawekea watu wenye akili zao ukomo kwenye suala la upward mobility ni sawa na kunyea jiwe.
 
Tena wapekuzi wapekue watuambie kama na yeye deni lake alilipa maana nina imani na yeye alikopa
 
Unataka kumfuatilia na kuwafungia waliompa ajira akaacha ualimu, au unamaanisha nini...
 
Back
Top Bottom