Mheshimiwa rais Magufuli, Kwanini ulikimbia Ualimu?

Halipi hata TAX,hana TIN Number!Uongozi ni kuo.yesha njia kwa vitendo,kwa nini tusilipe kodi regardless ya Cheo?Hiyo ndiyo sababu kuu ya Wananchi kukwepa kulipa Kodi maana viongozi wetu wanakwepa kodi kwa sheria kinzani.Iwe Fahari na Sifa ya Uongozi wa kuchaguliwa,kuteuliwa au kusomea kulipa kodi.
Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa ya mifumo ya Utawala kwa kuandika Katiba Mpya ya Wananchi. Mchakato wa awali urejelewe kuanzia ilikoishia Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Mh.Jaji Warioba.Vinginevyo Nchi hii inaangamizwa na watu kwenye Uchu wa Madaraka bila kujali madhara wanayosababisha.
Kila Mtanzania Mzalendo wa kweli ataungana nani Bali kwa wazalendo maslahi,I'm sorry for disappointing you...
mkuu hapo ni sawa sawa na wewe uishi kwenye nyumba yako af uwe unalipa Kodi,hata akilipa Kodi inarud kwake tuu,ndo maana nasema kuna vitu vingine mungu angekuwa anaingilia Kati ,ngoja niishie hapa kesho nisimiminiwe risasi 230
 
Rule no 1.General never wrong
If so refer rule no 1
 
Very simple, nilikimbia ualimu kutokana na kutoelewana na Headmaster.

1. Mosi alikuwa akinisumbua Sana baada ya Mimi kugoma kuishi nyumba moja walimu wawili. Mimi napenda maisha ya kujitenga Sana.

2. Headmaster alikuwa akinisumbua nikae Ofisi moja tukiwa wengi, sikupenda hili na nilitaka nipewe ofisi yangu Kama alivyo yeye. Hata Ofisi ya chemistry nilishindwana na mwenzangu Mwl ................aliyekuwa mkuu wa idara. Pia mkuu wa idara ya Mathematics tulishindwana.

3. Wanafunzi walikuwa na kiburi mno na Mimi nina hasira. Lugola atawaambieni vizuri.

4. Masilihi duni na kutolipwa mishahara hata zaidi ya Miezi mitatu wakati wa Rais Mwinyi yalinikimbiza nikaondoka Sengerema secondary na kwenda kuwa Mkemia wa kiwanda mjini Mwanza.

5. Pamoja na hayo yoote nilifanikiwa kujenga nyumba ya vyumba vitatu slope yaani mabati flat dizaini ya banda. Headmaster na walimu wengine walinionea wivu Sana kwa kuwa Mimi nilijenga nyumba hiyo ya vyumba viwili na sebule.
Ni hayo tu.
 
Ndiyo wakuu,

Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.

Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.

Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo, huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.

Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.

Ila tuambie, kwa nini ulikimbia ualimu?
Huko nako alipwaya akaona akimbie mapema asifukuzwe baada ya kugundulika kuwa ni bomu ndo maana toka aingie siasa, hakuna mwanafunzi wake hata mmoja aliyewahi kujitokeza kujitambulisha na kumsifia kuwa alikuwa mwalimu mzuri. Nyerere hata Maprof wake wa Ulaya walijitokeza kumsifia kuwa alikuwa mwanafunzi bora.
 
Very simple, nilikimbia ualimu kutokana na kutoelewana na Headmaster.

1. Mosi alikuwa akinisumbua Sana baada ya Mimi kugoma kuishi nyumba moja walimu wawili. Mimi napenda maisha ya kujitenga Sana.

2. Headmaster alikuwa akinisumbua nikae Ofisi moja tukiwa wengi, sikupenda hili na nilitaka nipewe ofisi yangu Kama alivyo yeye. Hata Ofisi ya chemistry nilishindwana na mwenzangu Mwl ................aliyekuwa mkuu wa idara. Pia mkuu wa idara ya Mathematics tulishindwana.

3. Wanafunzi walikuwa na kiburi mno na Mimi nina hasira. Lugola atawaambieni vizuri.

4. Masilihi duni na kutolipwa mishahara hata zaidi ya Miezi mitatu wakati wa Rais Mwinyi yalinikimbiza nikaondoka Sengerema secondary na kwenda kuwa Mkemia wa kiwanda mjini Mwanza.

5. Pamoja na hayo yoote nilifanikiwa kujenga nyumba ya vyumba vitatu slope yaani mabati flat dizaini ya banda. Headmaster na walimu wengine walinionea wivu Sana kwa kuwa Mimi nilijenga nyumba hiyo ya vyumba viwili na sebule.
Ni hayo tu.
Sawa.Mbona sasa umesahau ulikotoka?
 
Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea Mkwawa A level akaenda JKT Makutupora Dodoma akaenda Mkwawa TTC akapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?

Education[edit]

John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education.[5]
PhD yake ambayo lazima itajwe pamoja na jina lake na wateule, mbona haitajwi ni ya Chuo gani alichosomea na kutunukiwa? Ameanza kueleweka ni walewale!
 
leo nimesikia kaitaja Mkuu, kwa vile wikipedia kuna mahali wanruhusu kuEdit watafanya hivyo
kudodosa ni yale ya saa8 na kolomije
 
Ndiyo wakuu,

Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.

Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.

Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo, huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.

Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.

Ila tuambie, kwa nini ulikimbia ualimu?
Bila shaka wewe ni nesi
 
Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea Mkwawa A level akaenda JKT Makutupora Dodoma akaenda Mkwawa TTC akapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?

Education[edit]

John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education.[5]
Secondary school Katoke seminary 1975- 1977 aliishia form three , akaenda kumalizia Lake secondary kilichomfanya aende kumalizia Lake secondary ni nini ? Dirisha ?
 
Ujinga unawezakuwa uzalendo ila uzalendo hauwezi kuwa ujinga.

Haya wote tuimbe: [emoji445][emoji443]Mwaga maji tucheze kama kambalee![emoji441][emoji445][emoji445]
 
mkuu hapo ni sawa sawa na wewe uishi kwenye nyumba yako af uwe unalipa Kodi,hata akilipa Kodi inarud kwake tuu,ndo maana nasema kuna vitu vingine mungu angekuwa anaingilia Kati ,ngoja niishie hapa kesho nisimiminiwe risasi 230
Sisi tumejenga nyumba/makazi kwa kununua viwanja,vifaa vya ujenzi na kuunganisha utilities kama umeme,Maji safi/taka kwa kulipia Kila kimoja kodi,mbona tunalipa kodi halali Kila mwaka ambayo hata haina p.o.box ukiachilia kila miamala na manunuzi yote.Ama ni kwa kuwa makazi/nyuma zipo juu ya ardhi ya Tanzania ya Magufuli?
Suala la kulipa kodi kwa dunia ya wanaojitambua huwa ni Fahari na Wajibu muhimu na lazima kwa viongozi na Wananchi wazalendo.Vipi hapa kwetu, sisi nchi ya wanyonge tuwe na unnecessary TAX exemptions za ajabu ajabu kwa watu na taasisi zenye vipato vya kuridhisha?Mimi naitazama Hali hiyo kama ukosefu wa uzalendo na uwajibikaji wa kiwango cha maangamizi.Halafu tunawasifu wakwepa kodi kwa uchapa kazi?Kwa kutumia kodi za wanyonge!!!Hivi wajibu wake halisi ni upi?Tusifiwe kwa kuutekeleza wajibu wetu wa msingi?
Let's be serious, take action to rescue our Nation. Tanzania ijengwe na Watanzania wote bila matabaka.
 
Back
Top Bottom