Halipi hata TAX,hana TIN Number!Uongozi ni kuo.yesha njia kwa vitendo,kwa nini tusilipe kodi regardless ya Cheo? Hiyo ndiyo sababu kuu ya Wananchi kukwepa kulipa Kodi maana viongozi wetu wanakwepa kodi kwa sheria kinzani. Iwe Fahari na Sifa ya Uongozi wa kuchaguliwa, kuteuliwa au kusomea kulipa kodiSababu cheo alichonacho hakatwi NHIF wala PSPF
Akikujibu nistueNdiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.
Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.
Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo,huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.
Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.
Ila tuambie,kwa nini ulikimbia ualimu??
Mwakilishi wake ni huyu hapa johnthebaptist! Atamfikishia hili swali, na bila shaka majibu yako yatapatikana haraka iwezekanvyo. Maana Rais wetu ni Msikivu sana, Mnyenyekevu na pia ni mtu anaye wajali sana Wanyonge.Ndiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.
Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.
Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo,huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.
Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.
Ila tuambie,kwa nini ulikimbia ualimu??
Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea Mkwawa A level akaenda JKT Makutupora Dodoma akaenda Mkwawa TTC akapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?Kabla ya kufundisha Sengerema alikuwa wapi?
Bwashee wakati ule diploma ilikuwa haina mkataba!Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea JKT mAkutupora Dodoma kenda Mkwawa kapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?
John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education
anza na Madaktari kwanini watafutwe sasa hivi huko walipo?Bwashee wakati ule diploma ilikuwa haina mkataba!
Hittler baba laoKama ni hivyo, basi atamzidi hata Hitler.
Utaishia kuitwa beberu usiye mzalendo...Najiuliza yafuatayo;
- Hivi kupata mshahara mdogo ni kipimo cha uzalendo?
- Huko Private hosp. alikuwa akihudumia wakenya au wa Tz?
- Siondoki hapa hadi nipate majibu ya kuridhisha 😡
Magufuli anatakiwa awe anachambuliwa maneno ya kuongea otherwise kwa mdomo wake tujiandae kwa balaa kubwa zaidi!!Bwashee wakati ule diploma ilikuwa haina mkataba!
Kufa ni siku moja tu.Hivyo hupaswi kuogopa kila siku.Mjomba unaweza ukacheza risasi hata 40
Mkataba wa Sasa unasemaje?Kwa waliosoma enzi zake,kwa kiasi kikubwa waliwezeshwa na fedha za umma.Sasa hapo alibanwa na mkataba gani?
Wa diploma?!
Punguani wewe kwani ikulu ya wazazi wako au ya watanzaniaBavicha wameleta hoja na vioja huku eti nao wanataka ikulu!