mkuu hapo ni sawa sawa na wewe uishi kwenye nyumba yako af uwe unalipa Kodi,hata akilipa Kodi inarud kwake tuu,ndo maana nasema kuna vitu vingine mungu angekuwa anaingilia Kati ,ngoja niishie hapa kesho nisimiminiwe risasi 230Halipi hata TAX,hana TIN Number!Uongozi ni kuo.yesha njia kwa vitendo,kwa nini tusilipe kodi regardless ya Cheo?Hiyo ndiyo sababu kuu ya Wananchi kukwepa kulipa Kodi maana viongozi wetu wanakwepa kodi kwa sheria kinzani.Iwe Fahari na Sifa ya Uongozi wa kuchaguliwa,kuteuliwa au kusomea kulipa kodi.
Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa ya mifumo ya Utawala kwa kuandika Katiba Mpya ya Wananchi. Mchakato wa awali urejelewe kuanzia ilikoishia Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Mh.Jaji Warioba.Vinginevyo Nchi hii inaangamizwa na watu kwenye Uchu wa Madaraka bila kujali madhara wanayosababisha.
Kila Mtanzania Mzalendo wa kweli ataungana nani Bali kwa wazalendo maslahi,I'm sorry for disappointing you...
Alisomeshwa bure. Wazee wa miaka hiyo hawadaiwi loan!!Tena wapekuzi wapekue watuambie kama na yeye deni lake alilipa maana nina imani na yeye alikopa
Huko nako alipwaya akaona akimbie mapema asifukuzwe baada ya kugundulika kuwa ni bomu ndo maana toka aingie siasa, hakuna mwanafunzi wake hata mmoja aliyewahi kujitokeza kujitambulisha na kumsifia kuwa alikuwa mwalimu mzuri. Nyerere hata Maprof wake wa Ulaya walijitokeza kumsifia kuwa alikuwa mwanafunzi bora.Ndiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.
Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.
Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo, huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.
Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.
Ila tuambie, kwa nini ulikimbia ualimu?
Awe na breki mdomoni.Nchi hii siyo yake.Unataka kumfuatilia na kuwafungia waliompa ajira akaacha ualimu, au unamaanisha nini...
Sawa.Mbona sasa umesahau ulikotoka?Very simple, nilikimbia ualimu kutokana na kutoelewana na Headmaster.
1. Mosi alikuwa akinisumbua Sana baada ya Mimi kugoma kuishi nyumba moja walimu wawili. Mimi napenda maisha ya kujitenga Sana.
2. Headmaster alikuwa akinisumbua nikae Ofisi moja tukiwa wengi, sikupenda hili na nilitaka nipewe ofisi yangu Kama alivyo yeye. Hata Ofisi ya chemistry nilishindwana na mwenzangu Mwl ................aliyekuwa mkuu wa idara. Pia mkuu wa idara ya Mathematics tulishindwana.
3. Wanafunzi walikuwa na kiburi mno na Mimi nina hasira. Lugola atawaambieni vizuri.
4. Masilihi duni na kutolipwa mishahara hata zaidi ya Miezi mitatu wakati wa Rais Mwinyi yalinikimbiza nikaondoka Sengerema secondary na kwenda kuwa Mkemia wa kiwanda mjini Mwanza.
5. Pamoja na hayo yoote nilifanikiwa kujenga nyumba ya vyumba vitatu slope yaani mabati flat dizaini ya banda. Headmaster na walimu wengine walinionea wivu Sana kwa kuwa Mimi nilijenga nyumba hiyo ya vyumba viwili na sebule.
Ni hayo tu.
Mpunga tuuIla tuambie, kwa nini ulikimbia ualimu?
PhD yake ambayo lazima itajwe pamoja na jina lake na wateule, mbona haitajwi ni ya Chuo gani alichosomea na kutunukiwa? Ameanza kueleweka ni walewale!Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea Mkwawa A level akaenda JKT Makutupora Dodoma akaenda Mkwawa TTC akapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?
Education[edit]
John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education.[5]
leo nimesikia kaitaja Mkuu, kwa vile wikipedia kuna mahali wanruhusu kuEdit watafanya hivyoPhD yake ambayo lazima itajwe pamoja na jina lake na wateule, mbona haitajwi ni ya Chuo gani alichosomea na kutunukiwa? Ameanza kueleweka ni walewale!
Bila shaka wewe ni nesiNdiyo wakuu,
Tupo wengi sana tuliokacha kazi serikalini au hata kubadili fani kwa maslahi binafsi.
Mheshimiwa rais Magufuli aliukimbia ualimu na kuingia kwenye kadhia tofauti na ualimu.
Sasa ni muda muafaka wa yeye naye kutuambia kwanini alifanya hivyo, huku akiwazuia wengine kufanya vitendo kama alichofanya yeye.
Kama ni maslahi mazuri,wote tunataka.
Ila tuambie, kwa nini ulikimbia ualimu?
Secondary school Katoke seminary 1975- 1977 aliishia form three , akaenda kumalizia Lake secondary kilichomfanya aende kumalizia Lake secondary ni nini ? Dirisha ?Yohana Mbatizaji wewe ni msumbufu, katokea Mkwawa A level akaenda JKT Makutupora Dodoma akaenda Mkwawa TTC akapangiwa Sengerema, hapo kakaa mtaani hadi alipoenda UDSM ndipo Nyanza, sasa swali la mleta Mada kwanini alikimbia Ualimu?
Education[edit]
John Joseph Magufuli started his education at The Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to The Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in Chemistry, Mathematics and Education.[5]
Nisisaha vp, kwani ninyi ni daraja langu tena?Sawa.Mbona sasa umesahau ulikotoka?
Bavicha wameleta hoja na vioja huku eti nao wanataka ikulu!
Alikimbia ualimu akitokea wapi na akaenda wapi?
Kabla ya kufundisha Sengerema alikuwa wapi?
Sisi tumejenga nyumba/makazi kwa kununua viwanja,vifaa vya ujenzi na kuunganisha utilities kama umeme,Maji safi/taka kwa kulipia Kila kimoja kodi,mbona tunalipa kodi halali Kila mwaka ambayo hata haina p.o.box ukiachilia kila miamala na manunuzi yote.Ama ni kwa kuwa makazi/nyuma zipo juu ya ardhi ya Tanzania ya Magufuli?mkuu hapo ni sawa sawa na wewe uishi kwenye nyumba yako af uwe unalipa Kodi,hata akilipa Kodi inarud kwake tuu,ndo maana nasema kuna vitu vingine mungu angekuwa anaingilia Kati ,ngoja niishie hapa kesho nisimiminiwe risasi 230