Mheshimiwa rais Magufuli, Kwanini ulikimbia Ualimu?

Ufafanuzi wa na.3 Wanafunzi walinipa shida sana. Walitaraji kiwango cha juu sana kutoka kwangu. Walijua natokea mkoa wa nshomile. Nimwage ung'eng'e wa kufa mtu. Si unawajua hao jamaa? Fikiria kiingereza changu cha leo kilivyo. Wakati huo hata Uingereza sijaenda! Naongea neno moja la kizungu nalo pengine si sahihi. La pili la kisukuma na la tatu la kiswahili kwa lafudhi ya kisukuma. Hawanielewi. Siwaelewi. Hatuelewani. Natoa adhabu kufuru! Ndio wanazidi. Mwaka mmoja tu kama muongo mzima. Cha kufia nini? Wala sikufikiria maslahi nikalala mbele. Nyanza wakanipokea. Ualimu kama lugha haipandi acha kabisa.
 
Akikwambia kanywe supu utakavyo, nitalipa.
 
Ubinafsi tu. Yeye tu, yahani yeye tuuuuu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…