T The Phylosopher JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,957 Nov 2, 2024 #1 Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?