Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi


Akhsante Mkuu na nimekupata vyema kabisa. Tuko pamoja!
 

Wee Ngongo hivi ulishajiuliza kwanini katoto ka kimasai kanatokaga full ngwamba? Rungu, Sime, Mkuki, Ngao.... etc? Kalaga baho!
 
Juzi nimehoji hivi ni lazima mtu kila siku apost thread humu?Kuna watu yaani wanapost vitu vya ajabu sana na wengi ni kutaka sifa za likes tu.Kiujumla jamaa ujuaji mwingi sana na akiambiwa ulichopost ni pumba anakuja juu kwa matusi.

' Nyota ' yangu Kali na ' iliyobarikiwa ' inakutesa na nakuhakikishia itakutesa sana hadi utapasuka kabisa Ufe. Na ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE ambayo unaichukia ndiyo inaongozwa Kukodolewa / Kutizamwa hadi na alipo Mkuu wako anayekuongoza Tanzania ' Magogoni ' pamoja na Watendaji wake wote mbalimbali.

Na kama haitoshi pia ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE unayoichukia ya GENTAMYCINE ndiyo inaongoza kwa Kujadiliwa na wakati mwingine hata kutumiwa kama ' Reference ' katika ' Mada ' fulani katika Taasisi mbalimbali za ' Kitaaluma ' hapa nchini huku Wanafunzi wengi wa Vyuo wakiwa ' wanavutiwa ' nayo vile vile.

Nakuongezea zaidi ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE ambayo unaichukia ndiyo inaongoza kwa Kufuatiliwa na Wanahabari wengi tena hasa wale ' Wachambuzi ' wa mambo mbalimbali na hata Gazeti lako la TANZANITE kuna taarifa zake kadhaa imewaandikieni baada ya Kuchukua kila Kitu kutoka Kwangu ( Maudhui yangu hapa JamiiForums )


Na ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE unayoichukia ndiyo inaongoza kwa ' Mabandiko ' yake mengi kutumiwa kama ' Kivutio ' cha ' Story ' na Mitandao mingine mbalimbali na kuna hadi mingine kwa Kuniheshimu, Kunitambua na Kujua ' thamani ' ya uwepo wangu hapa huwa pia wananitaja mwishoni mwa taarifa zao hizo.

Nakumalizia ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE unayoichukua ndiyo inaongozwa kutumiwa mno na Mtangazaji na Bosi wa Radio One Ndugu Deogratius Stephen Rweyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya Habari ' Nyepesi Nyepesi ' ambapo amekuwa mara kwa mara akipenda sana kuchukua ' Vituko ' vyangu vya hapa Jamvini na kuvitumia katika ' Kuwahabarisha ' Wasikilizaji wake.

Na ili uone kuwa ' Nyota ' yangu ni Kali na ' imeshabarikiwa ' na Mwenyezi Mungu hata GENTAMYCINE nikianzisha ' Thread ' gani iwe Mbaya, ya Kipuuzi, ya Kitoto au ya Muundo wowote ule bado tu itapokelewa na ' Kuchangamkiwa ' vile vile na Wadau. Hata Mimi sikupenda na sijapenda niwe ' Maarufu ' hivi ila nimejikuta tu nipo hivi halafu nasikitika ni kwanini Mwenyezi Mungu alinipendelea na Kukusahau Wewe Popoma / Pumbavu.

Huyu ndiyo GENTAMYCINE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ". Naomba ujumbe huu hakikisha unawafowadia na wale ' Wapuuzi ' wenzio wote ambao huwa nawashangaa mnasema na mnaonyeshwa ' Kuchukizwa ' nami na uwepo wangu hapa Jamvini 24/7 lakini ndiyo nyie nyie mnaongoza Kukodolea / Kuangalia ' threads ' zangu hapa JamiiForums bila kusahau ' posts ' zangu wakati mkijua kabisa kuwa zipo ' threads ' nyingi tu na ' Majukwaa ' mbalimbali.

Ninapokuwa nawadharau na kuwaambieni kuwa HAMNA AKILI msiwe ama mnakataa au mnabisha kwani nipo sahihi kabisa.
 
Sijasoma hata kidogo, nimeona ni like tu hahahahahahah. Haiitaj kutumia nguvu.
 

Kulikoni leo HUJANITISHIA MAISHA ( kuwa my days are numbered ) KAMA AMBAVYO ULINITISHIA KATIKA ' POSTS ' ZAKO MBILI ZA JUMAPILI NA JUMATATU?
 
Amtaje au asimtaje hadharani, watu wakihitaji kumjua watamjua tu. Ifikie wakati tuamini integrity ya watu wetu. Hata hivyo TISS ni chombo halali cha serikali kwahiyo hakuna ubaya mkuu wao kufahamika. Kazi zao kua siri ni sawa ila sio executives.

Mie nimemuona ana kwa ana juzi tulikuwa nae kwenye sherehe fulani hivi, ile sherehe ilianza saa tisa machana hadi saa moja jioni, muda wote huo yale maV8 meusi kule nje yalikuwa yanaunguruma tu......hayakuzimwa
 
Sijasoma hata kidogo, nimeona ni like tu hahahahahahah. Haiitaj kutumia nguvu.

Hizo ndizo aina zangu za ' dozi ' ambazo huwa nawapa Mangumbaru / Wajinga na Mapopoma / Wapumbavu wa mfano wako pindi ' Wakijipendekeza ' Kwangu na nina uhakika imekuingia vilivyo.
 
We ungekua kiongoz, ungekua dikteta mbaya sana.

Tangia hapo ' naturally ' Mimi ni ' Typical Dictator ' nashangaa Siku zote ulikuwa hujui. Labda nife leo hii ila kwa ' mipango ' yangu ambayo naiweka na naifanya taratibu na kwa umakini wake wa hali ya juu kati ya mwaka 2045 au 2055 Mimi GENTAMYCINE ndiyo nitakuwa Amiri Jeshi Mkuu wako na Rais wako wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitakuongoza kwa miaka yangu Kumi ( 10 ) utake usitake. Itunze hii ' post ' tafadhali.
 

Mkuu huyu kazoea vibamia.
 
Mkuu huyu mleta mada anazunguka mbuyu tu ila hana hoja hapa.
Huyu mkurugenzi wa TISS yeye kama yeye uteuzi wake hutangazwa hadharani, so yeye sio siri bali taasisi yake na watendaji wake pamoja na shughuli zao.
Sijui Kwa Nn
 
Hoja ya mleta uzi, ilikuwa sabbu ya kumtaja taja...
na zaidi kuna wakati hata DDG naye alikuwa anamtaja..
so, kutajwa huku kunakuwa kunaleta viashiria gani ndani ya wasifu wa Rais na Nje ya wasifu wake???
Ni kweli mtoaji hoja ana maana hapa kubwa lakini si unamjua GENTAMYCINE ni mimi namuita MWANAZUONI ni mwanafasihi thread zake zinatakiwa uelewa wa juu anaandika zaidi kifasihi. Kwahilo nakubaliana na wewe na Mtoa mada hakuna haja ya kumtajataja mtu huyu wa Usalama na ukichukulia matukio yanayotikea kila kukicha watu wanaweza kuunganisha dots. Asante kwa ufafanuzi.
 
..... safe house ......
 
Kapi tupu aka debe tupu..kelele uwa mingi ..mweredi mwenye ungwana timilifu usifiwa KAMWE awezi kuwaza jisifia wala kujisifia
 
Mi sioni shida kumtajataja kwa sababu anamteua mwenyewe na anapomteua vyombo vya habari huwa vinatuhabarisha so kutomtaja haisaidii watu kutomjua kwa sababu mtu akiwa na lengo la kumjua atamjia tu tena ndani ya dakika moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…