' Nyota ' yangu Kali na ' iliyobarikiwa ' inakutesa na nakuhakikishia itakutesa sana hadi utapasuka kabisa Ufe. Na ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE ambayo unaichukia ndiyo inaongozwa Kukodolewa / Kutizamwa hadi na alipo Mkuu wako anayekuongoza Tanzania ' Magogoni ' pamoja na Watendaji wake wote mbalimbali.
Na kama haitoshi pia ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE unayoichukia ya GENTAMYCINE ndiyo inaongoza kwa Kujadiliwa na wakati mwingine hata kutumiwa kama ' Reference ' katika ' Mada ' fulani katika Taasisi mbalimbali za ' Kitaaluma ' hapa nchini huku Wanafunzi wengi wa Vyuo wakiwa ' wanavutiwa ' nayo vile vile.
Nakuongezea zaidi ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE ambayo unaichukia ndiyo inaongoza kwa Kufuatiliwa na Wanahabari wengi tena hasa wale ' Wachambuzi ' wa mambo mbalimbali na hata Gazeti lako la TANZANITE kuna taarifa zake kadhaa imewaandikieni baada ya Kuchukua kila Kitu kutoka Kwangu ( Maudhui yangu hapa JamiiForums )
Na ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE unayoichukia ndiyo inaongoza kwa ' Mabandiko ' yake mengi kutumiwa kama ' Kivutio ' cha ' Story ' na Mitandao mingine mbalimbali na kuna hadi mingine kwa Kuniheshimu, Kunitambua na Kujua ' thamani ' ya uwepo wangu hapa huwa pia wananitaja mwishoni mwa taarifa zao hizo.
Nakumalizia ni ' ID ' hii hii ya GENTAMYCINE unayoichukua ndiyo inaongozwa kutumiwa mno na Mtangazaji na Bosi wa Radio One Ndugu Deogratius Stephen Rweyunga hasa katika ile ' Segment ' yake ya Habari ' Nyepesi Nyepesi ' ambapo amekuwa mara kwa mara akipenda sana kuchukua ' Vituko ' vyangu vya hapa Jamvini na kuvitumia katika ' Kuwahabarisha ' Wasikilizaji wake.
Na ili uone kuwa ' Nyota ' yangu ni Kali na ' imeshabarikiwa ' na Mwenyezi Mungu hata GENTAMYCINE nikianzisha ' Thread ' gani iwe Mbaya, ya Kipuuzi, ya Kitoto au ya Muundo wowote ule bado tu itapokelewa na ' Kuchangamkiwa ' vile vile na Wadau. Hata Mimi sikupenda na sijapenda niwe ' Maarufu ' hivi ila nimejikuta tu nipo hivi halafu nasikitika ni kwanini Mwenyezi Mungu alinipendelea na Kukusahau Wewe Popoma / Pumbavu.
Huyu ndiyo GENTAMYCINE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ". Naomba ujumbe huu hakikisha unawafowadia na wale ' Wapuuzi ' wenzio wote ambao huwa nawashangaa mnasema na mnaonyeshwa ' Kuchukizwa ' nami na uwepo wangu hapa Jamvini 24/7 lakini ndiyo nyie nyie mnaongoza Kukodolea / Kuangalia ' threads ' zangu hapa JamiiForums bila kusahau ' posts ' zangu wakati mkijua kabisa kuwa zipo ' threads ' nyingi tu na ' Majukwaa ' mbalimbali.
Ninapokuwa nawadharau na kuwaambieni kuwa HAMNA AKILI msiwe ama mnakataa au mnabisha kwani nipo sahihi kabisa.