Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

Unatakiwa uondoke na corona Kwa roho yako hiyo mbaya na wivu. Mpuuzi kabisa. Hiyo miaka 15 watoto wako uliowazaa watakuwa wameanza kujitegemea. Yaani JF siku hizi Una watu wa hovyo sana. haya mawazo peleka huko insta

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo hayapigwi rungu! Insta ndio takataka gani au unafikiri Kila mtu yuko insta? What you have wished to me is coming to you now!
 
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk

Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.

Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.

Wadau mnasemaje??
utakuwa huna kazi wewe, serikalini penyewe ule ni mshahara au posho tu
 
Mtoa mada na kamati nzima ya roho mbaya ina maana hamuoni serikali inavyofanya kazi? Watumishi wa umma sio wote wavivu kuna wanaochapa kazi haswa na masaa Zaidi yaliyopangwa
 
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk

Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.

Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.

Wadau mnasemaje??
Afrika ndo maana hatuendelei kwa uchawi.Ebu fikiria mchana wote huu unawawangia wenzako wasilipwe mshahara kwakua ww ni jobless.Sijui unatokea kijij kile ambacho ukijenga nyumba ya bati unalogwa
 
Labda katibu mkuu kiongozi wa kata ya kibororoni.
Anapenda kujipaisha ili tujue kuwa katibu mkuu kiuongozi anafikiwa kiurahisi kwa issue ndogo za kumalizwa na mtendaji wa mtaa!
Kujipaisha waachie wahaya, wewe msukuma utaharibu Kama hivi ulivyoharibu kuandika "kukoswa"!
 
Kwa hiyo wakiajiriwa miaka 15 hawatakaa bure? na wewe kajaribu kuajiriwa ili ukakae bure..teh
 
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk

Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.

Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.

Wadau mnasemaje??
Kwanza ujue halipi yeye. Ni hela za umma. Na umma sio Rais wa nchi.

Hii misconception inazidi kuota mizizi. Tujikomboe na fikra mbovu.
 
Kifupi nahisi kunashida kubwa kwenye baadhi ya taasisi kwa sasa!
Unachosema uko sahihi.

Nibora mfanyakazi wa uma angekuwa anapewa mkataba wa miaka hata mitano mitano nakuwekewa kiwango cha kutoa huduma kama ilivyo kwa MAHAKAMA kwa sasa!
Ndio maana mahakama sasa hivi iko vizuri! Shida zilizikuwa zinaperekwa na mawakiri kupaki kesi! Sasa hivi hazipo, vinginevyo utamuharibia hakim.
Taasisi za serikani kuna shida kubwa sana saivi.

Niliwahi kuliwekea UZI humu jf nanikataja mpaka na wizara , na baadhi ya wizara hizo leo zimetuhumiwa na wananchi (wizara ya maji) huko kilimanjaro wananchi wamelia kubambikizwa billi.

Na leo naibu waziri wa maji nimemsikia kaja na matamko ya kutokata kata maji japo jf waliindoa nyuzi yangu humu jf.
Ilibidi nipige simu kwa katibu mkuu kiongozi .
Naamini atakuwa kalifanyia kazi ndio màana naibu waziri kajitokeza nahuku kimara baruti watu wakapata maji.
Jf waache mijadara ya kijamii watu tujadiri cyo habari za chadema za kutukana serikari ndo ziachwe zikitrendi hum jf
Mkuu tusaidie kuhusu mikataba ya kazi Mahakama ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umeshawahi fikiria maana ya kufanya kazi kwa bidii? Labda wadhani wanaopaswa kufanya kazi kwa bidii ni waajiriwa wa serikali tu. Kumbe hata wewe hapo ulipo unapaswa ufanye kazi kwa bidii. Lakini je, hapo ulipo wafanya kazi kwa bidii? Au umejichimbia kwenye internet. Acha kuangalia wenzako. Toa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako.

Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk

Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.

Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.

Wadau mnasemaje??
 
una akisi akili za watanzania walio wengi,Mtu wa kwanza kwenye utumishi wa umma ni huyo huyo Rais-huko uliko enda ukaona uhudumiwi vizuri bado ni matunda yanayotokana na huyo huyo Rais.Sasa wewe unachofanya ni kuahamisha maji kutoka kwenye Bahari na kuyarudisha ziwani.
 
Afrika ndo maana hatuendelei kwa uchawi.Ebu fikiria mchana wote huu unawawangia wenzako wasilipwe mshahara kwakua ww ni jobless.Sijui unatokea kijij kile ambacho ukijenga nyumba ya bati unalogwa
jipangeni tuu hii iko kwenye pipeline baada tu ya miezi kadhaa utakuja hapa kuniuliza ulijuaje... tukana sana lkn habari ndio hiyo anza kujiandaa kisaikolojia scheme of service zote zinapitiwa upya na mikataba ya ajira. utajua kuwa mimi ni jobless au jobcreator. narudia jipange usije lilia watu muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom