Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

umesahau kwenye umeme kuna miundombinu chakavu sana.
Mfano kuhusu swala la umeme! Kila mvua ikinyesha kwa dar es salaam mjue mtakoswa umeme!
Hii nayo haijakaa sawa! Maana mvua inaponyesha ndio watu wabaya wanatumia mda huo kupita ktk majumba ya watu! Wanaiba kuku kufungua tail za gari na kunyonya mafuta kwenye magari makubwa wakitumia giza.

Lakini ukiweka uzi huo unaondolewa, ila ukiweka wakumtukana mh raisi wengine wanamuita jiwe! Aaaa hapo utakaa jf hata mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jipangeni tuu hii iko kwenye pipeline baada tu ya miezi kadhaa utakuja hapa kuniuliza ulijuaje... tukana sana lkn habari ndio hiyo anza kujiandaa kisaikolojia scheme of service zote zinapitiwa upya na mikataba ya ajira. utajua kuwa mimi ni jobless au jobcreator. narudia jipange usije lilia watu muda si mrefu.
Pimbi ww unamtisha mtu usiyemjua....what a foolish fool
 
Pimbi ww unamtisha mtu usiyemjua....what a foolish fool
eti mtu usiemjua!!!! who are you by the way, sasa mitusi ya nini kama huogopi. badala ya kuchangia unatukana tukana alafu eti mtu usiemjua....! nisiowajua huwa hawaogopiogopi kama ww. by the way sio saizi yangu siwezi kukujibu zaidi ya hapa endelea na uharoo.
 
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk

Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.

Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.

Wadau mnasemaje??
Unajua pension ya serikali kanuni inayotumika kulipa?
Serikali itaingia gharama kubwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti mtu usiemjua!!!! who are you by the way, sasa mitusi ya nini kama huogopi. badala ya kuchangia unatukana tukana alafu eti mtu usiemjua....! nisiowajua huwa hawaogopiogopi kama ww. by the way sio saizi yangu siwezi kukujibu zaidi ya hapa endelea na uharoo.
We pimbi sina muda kujibizana nawe
 
Back
Top Bottom