Mawazo hayapigwi rungu! Insta ndio takataka gani au unafikiri Kila mtu yuko insta? What you have wished to me is coming to you now!Unatakiwa uondoke na corona Kwa roho yako hiyo mbaya na wivu. Mpuuzi kabisa. Hiyo miaka 15 watoto wako uliowazaa watakuwa wameanza kujitegemea. Yaani JF siku hizi Una watu wa hovyo sana. haya mawazo peleka huko insta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulizozitaja ni taasisi zenye vijana wengi kuliko zote! Kafanye tena utafiti wakoNaunga mkono hoja.
Ofisi nyingi za umma zimejaa wazee watupu ambao wameshachoka!
Mimi naaza na ofisi hizi TRA,BRELA nk
utakuwa huna kazi wewe, serikalini penyewe ule ni mshahara au posho tuMheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk
Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.
Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.
Wadau mnasemaje??
Nyie ndo mnataka mfie kwenye viti mkiwa ofisini.Mnao msapoti huyu kenge na nyie kenge.
Lete takwimu zikionesha kuwa watumishi hawafanyi kazi,
Kibarua chako kimoja kilichokosewa address ndiko kisababishe Serikali iamue ujinga huo?
Peleka ujinga wako chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika ndo maana hatuendelei kwa uchawi.Ebu fikiria mchana wote huu unawawangia wenzako wasilipwe mshahara kwakua ww ni jobless.Sijui unatokea kijij kile ambacho ukijenga nyumba ya bati unalogwaMheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk
Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.
Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.
Wadau mnasemaje??
Anapenda kujipaisha ili tujue kuwa katibu mkuu kiuongozi anafikiwa kiurahisi kwa issue ndogo za kumalizwa na mtendaji wa mtaa!Labda katibu mkuu kiongozi wa kata ya kibororoni.
Kwanza ujue halipi yeye. Ni hela za umma. Na umma sio Rais wa nchi.Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk
Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.
Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.
Wadau mnasemaje??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakuwa wakali kama polisi na bangi, wengine mpaka wanaongeza mikatabaWatumishi wa uma watu wa ajabu sana mkiambiwa swala LA mktaba na kufupisha umri wa kustaafu mnakuwa wakali kama mbogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusaidie kuhusu mikataba ya kazi Mahakama ikoje?Kifupi nahisi kunashida kubwa kwenye baadhi ya taasisi kwa sasa!
Unachosema uko sahihi.
Nibora mfanyakazi wa uma angekuwa anapewa mkataba wa miaka hata mitano mitano nakuwekewa kiwango cha kutoa huduma kama ilivyo kwa MAHAKAMA kwa sasa!
Ndio maana mahakama sasa hivi iko vizuri! Shida zilizikuwa zinaperekwa na mawakiri kupaki kesi! Sasa hivi hazipo, vinginevyo utamuharibia hakim.
Taasisi za serikani kuna shida kubwa sana saivi.
Niliwahi kuliwekea UZI humu jf nanikataja mpaka na wizara , na baadhi ya wizara hizo leo zimetuhumiwa na wananchi (wizara ya maji) huko kilimanjaro wananchi wamelia kubambikizwa billi.
Na leo naibu waziri wa maji nimemsikia kaja na matamko ya kutokata kata maji japo jf waliindoa nyuzi yangu humu jf.
Ilibidi nipige simu kwa katibu mkuu kiongozi .
Naamini atakuwa kalifanyia kazi ndio màana naibu waziri kajitokeza nahuku kimara baruti watu wakapata maji.
Jf waache mijadara ya kijamii watu tujadiri cyo habari za chadema za kutukana serikari ndo ziachwe zikitrendi hum jf
Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk
Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili litaondoa utegaji kazi na mazoea ya kutotoa huduma kwa watumishi wengi ambao wanalipwa mishahara buree lkn hawafanyi kazi.pia litatoa fursa za ajira kwa watanzania wengine.
Kuna taasisi nyingi mfano psssf, baadhi ya ofisi za tra, halmashauri mbali mbali nk. Wanakera Sana sana unaandika barua Leo unapita mwaka hujajibiwa na watu wanalipwa mishahara. Hili halijakaa sawa naomba kuwasilisha.
Wadau mnasemaje??
Ameropoka tu hata ajielewei Mahakama ipi hiyo ambayo watumishi wake wanafanya kazi kwa Mkataba? Ajira zote za watumishi wa Umma katika Serikali karibu zote duniani ni za MIkataba ya kudumu.
Umenena vema
kweli suala la muda wa kustaafu liangaliwe upya.Wazee miaka 60 mpaka anaomba asaidiwe majukum yake, hatari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
jipangeni tuu hii iko kwenye pipeline baada tu ya miezi kadhaa utakuja hapa kuniuliza ulijuaje... tukana sana lkn habari ndio hiyo anza kujiandaa kisaikolojia scheme of service zote zinapitiwa upya na mikataba ya ajira. utajua kuwa mimi ni jobless au jobcreator. narudia jipange usije lilia watu muda si mrefu.Afrika ndo maana hatuendelei kwa uchawi.Ebu fikiria mchana wote huu unawawangia wenzako wasilipwe mshahara kwakua ww ni jobless.Sijui unatokea kijij kile ambacho ukijenga nyumba ya bati unalogwa