Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

"Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa ni jeshini ningekuwa nina medani za kivita....ni askari mmoja aliyepo benchi la nyuma lakini mwenye uwezo mkubwa wa kupigana vita yoyote ile. Kwa hiyo Mh RC,.... Mambosasa na timu yenu mkihitaji uzoefu wangu katika mapambano ya kumlinda Dkt.John Pombe Magufuli, hata kama ni saa 9 usiku nitaamka...kwangu yeye ni zaidi ya cheo na ni baba".

Habari Star TV Tanzania

Kwa mbali sasa nami naanza Kuuona Moshi Mweupe kwa wale Wahusika Wakuu waliotuondolea Machoni Mwetu upesi akina Ben na hadi Azory pia.
Bahati nzuri sifa za makonda kwa magufuli zinaongeza hasira kuliko upendo.
 
Makonda bhana,arudi kwa MWENYEZIMUNGU akafanye toba ya maovu aliyoyafanya na aache kumkumbatia magufuli kwani magufuli si lolote si chochote mbele ya MWENYEZIMUNGU

Kama pesa na umaarufu tayari alishavipata sasa ya nini ahangaike tena?,sasa atafute UTU na MSAMAHA
 
Kuhitajika usiku sio lazima umuombe RC na Mambosasa, mtaani kwako jiunge na kikundi cha Sungusungu utalazimika kumlinda vizuri.
Ila Bashite tunakuonya, wewe ni nyanya sana kiasi kamba huna uwezo hata wa kurusha ngumi 2, acha mzaha na watoto wa mjini we jamaa utachezea za uso. Kumbuka wewe ni mzurulaji tu kama sisi, Sasa jitie ufundi uingie anga zetu utajuta kuishi Dar badala ya Koromije.
Kwa wanaume wa Dar hiyo ni porojo angesema mtu wa Tarime au machali wa Arusha ningeelewa zaidi
 
Ndani ya gari risasi zinamiminika kama mvua wala hajui zinakotoka aweze kukariri sura badala ya kuhangaika kujificha?

Nasikitika hujanielewa na wala hujaelewa Kitu Kikubwa nilichokimaanisha hapa katika Uzi wangu huu na kile nilichokilenga japo Nimefumba Kitu!!!!!
 
Kila mzalendo anao wajibu wa kumlinda Mueshimiwa Dr Pombe,Big up Mueshimiwa Makonda kwa kuonyesha UZALENDO wako.
 
Nyie wte mnaomponda makonda humu jf nisababu ya shida za kimaisha mlizo nazo.
Najua tatizo ni pesa , mnashindia mihogo na chachandu mitaani, makonda aliwathibiti kuuza vipipi vyenu na ukwapuaji wenu mkakimbilia madecha.
Tundu lisu wenu mnaemtetea nigaidi namba moja wa nchi hii, hata ndg na dada zke wanalijua hili.
Ndio maana hutasikia ndg yyte wa gaidi hili anapiga kelele km nyie, hata yy lisu analijua hili. Ndo maana hutamsikia tena akitukana km hapo awali.
 
Ninakurekebisha kidogo ni kwamba kuna wengine Maisha waliyoyapitia, bata walizokula, hadhi na heshima hadi IQ's zao huyo 'Mpuuzi' wako hana!
 
Hivi unajua kama Bashite ni shoga?
Hivi mods wa jamii forum ni vigezo gani mnavyotumia kumpiga member ban?
Kweupe Mueshimiwa anatukanwa na you ain't do anything.this is not fair.Ninaomba jamaa alete ushaidi wa ayesamayo au Sheria ichukue mkondo.Mkuu wa mkoa hawezi dhihakiwa wazi wazi kiasi hiki though we dare to speak openly
 
Kumbe Makonda sasa hivi ni Mheshimiwa? Kuna Watu ni 'Wapumbavu' hadi huwa najiuliza hivi huko Vyuo Vikuu huwa mnaenda Kufanya nini hasa?
 
Nyie wte mnaomponda makonda humu jf nisababu ya shida za kimaisha mlizo nazo.
Najua tatizo ni pesa , mnashindia mihogo na chachandu mitaani, makonda aliwathibiti kuuza vipipi vyenu na ukwapuaji wenu mkakimbilia madecha.
Tundu lisu wenu mnaemtetea nigaidi namba moja wa nchi hii, hata ndg na dada zke wanalijua hili.
Ndio maana hutasikia ndg yyte wa gaidi hili anapiga kelele km nyie, hata yy lisu analijua hili. Ndo maana hutamsikia tena akitukana km hapo awali.
Bila shaka utakua MAMA KIIGANI
 
Hivi mods wa jamii forum ni vigezo gani mnavyotumia kumpiga member ban?
Kweupe Mueshimiwa anatukanwa na you ain't do anything.this is not fair.Ninaomba jamaa alete ushaidi wa ayesamayo au Sheria ichukue mkondo.Mkuu wa mkoa hawezi dhihakiwa wazi wazi kiasi hiki though we dare to speak openly
Mkuu wa mkoa upi?
 
Back
Top Bottom