Ongeza nyama nyama basi β¦.. story ijaejaeTunaposhangilia wanawake waliofanikiwa! Tusiwabeze waliopigwa na maisha kwa kukosa nafasi za uteuzi au ajira!
Tusiache kuwapongeza hawa wanawake waliotemwa na mfumo kwa kugomea rushwa ya ngono!
Hawa watu wamekubali kufa na Yesu mlabani! Lakini wakiamua kutoa ya moyoni Dunia itachafuka!
Baadhi ya Mambo wanayokutana nayo kwenye teuzi na nafasi za kazi Mungu pekee anajua!
Ndo hapo sasasasa kama mwanamke anampa mbwiga mmoja kwa ahadi za kumuoa tu
anamnyima vip mtu anayempa ahadi ya kazi
wabongo ni watu wa hovyo sana
aarrgghh tutokee hapaNashukuru Mungu kote nilikopita hadi nimefika hapa sijawahi kutana na kitu ya namna hiyo.
Ila hayo mambo yapo, wanaume wengine wamejawa tamaa + kukosa utu
Utakuwa na sura ya baba mwaisah hahah mtoa mada yuko sahihiNashukuru Mungu kote nilikopita hadi nimefika hapa sijawahi kutana na kitu ya namna hiyo.
Ila hayo mambo yapo, wanaume wengine wamejawa tamaa + kukosa utu
Wenye sura zetu personal zinatusaidia sometimeππUtakuwa na sura ya baba mwaisah hahah mtoa mada yuko sahihi
Mbona makasiriko mkuuaarrgghh tutokee hapa
nyie ndio mnasemaga
Mungu kafanya njia pasipo na njia
Kuna watu mnapenda utani wa ngumiUtakuwa na sura ya baba mwaisah hahah mtoa mada yuko sahihi
ndio nimekasirika tena sana tuMbona makasiriko mkuu
Pole, kunywa maji then relax hasira zitapoandio nimekasirika tena sana tu
Kula mtori nyama zitakuja tuOngeza nyama nyama basi β¦.. story ijaejae
Si ndio haposasa kama mwanamke anampa mbwiga mmoja kwa ahadi za kumuoa tu
anamnyima vip mtu anayempa ahadi ya kazi
wabongo ni watu wa hovyo sana
Mshukuru Mungu kwa kukupa sura ya babaπππππNashukuru Mungu kote nilikopita hadi nimefika hapa sijawahi kutana na kitu ya namna hiyo.
Ila hayo mambo yapo, wanaume wengine wamejawa tamaa + kukosa utu
Namshukuru sanaππMshukuru Mungu kwa kukupa sura ya babaπππππ
πππππππNamshukuru sanaππ