Mheshimu sana mwanamke anayejitambua kugomea rushwa ya ngono! Wanayopitia uteuzi wa kisiasa na nafasi za kazi Mungu pekee anajua

Mheshimu sana mwanamke anayejitambua kugomea rushwa ya ngono! Wanayopitia uteuzi wa kisiasa na nafasi za kazi Mungu pekee anajua

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Tunaposhangilia wanawake waliofanikiwa! Tusiwabeze waliopigwa na maisha kwa kukosa nafasi za uteuzi au ajira!

Tusiache kuwapongeza hawa wanawake waliotemwa na mfumo kwa kugomea rushwa ya ngono!

Hawa watu wamekubali kufa na Yesu mlabani! Lakini wakiamua kutoa ya moyoni Dunia itachafuka!

Baadhi ya Mambo wanayokutana nayo kwenye teuzi na nafasi za kazi Mungu pekee anajua!
 
Kuja jamaa yangu mmoja kalamba warembo kalibia wote ofisini, wale wa filidi ndo usiseme!
 
Tunaposhangilia wanawake waliofanikiwa! Tusiwabeze waliopigwa na maisha kwa kukosa nafasi za uteuzi au ajira!

Tusiache kuwapongeza hawa wanawake waliotemwa na mfumo kwa kugomea rushwa ya ngono!

Hawa watu wamekubali kufa na Yesu mlabani! Lakini wakiamua kutoa ya moyoni Dunia itachafuka!

Baadhi ya Mambo wanayokutana nayo kwenye teuzi na nafasi za kazi Mungu pekee anajua!
Ongeza nyama nyama basi ….. story ijaejae
 
Nashukuru Mungu kote nilikopita hadi nimefika hapa sijawahi kutana na kitu ya namna hiyo.

Ila hayo mambo yapo, wanaume wengine wamejawa tamaa + kukosa utu
aarrgghh tutokee hapa
nyie ndio mnasemaga
Mungu kafanya njia pasipo na njia
 
sasa kama mwanamke anampa mbwiga mmoja kwa ahadi za kumuoa tu
anamnyima vip mtu anayempa ahadi ya kazi

wabongo ni watu wa hovyo sana
Si ndio hapo

Mtu anakuomba papuchi ambayo haondoki nayo anakupa kazi ya faida itakayo kusaidia huko baadaye

Unamnyima unaenda mpa boyfriend wako ambaye hana mpango wa kukuoa
 
Wadada baadhi yao wanagongwa sana ili wafanyiwe koneksheni za kazi, mitihani iliyovuja, kuongezewa koziweki n.k.

Ikitokea kafanikiwa kupata kazi, unakuta katumika na ikiwezekana ataendelea kua mtumwa kwa mtu aliyemuunganisha kwenye kazi yake, mdada husika anakua na hofu ya kumnyima kisa atafanyiwa mizengwe afukuzwe.
 
Back
Top Bottom