Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Hakuna hata jibu sahihi utakalopata mkuuTunaomba utaratibu ulio tumika kuninua hilo Toy.
2. Tunaomba kujulisha dhamani yake na limenunuliwa kupitia budget ipi
3. Ni nini matumizi yake kulingana na dhamani yake.
4. Bunge likiisha linapelekwa wapinna kufanya kazi Gani.
5. Lengo la kulileta hapa bungeni ni nini
Wanatudharau sanaHujaelewa tu,,,,
Ndivyo wanavyotamani watanzania wote tuwe, na nafikiri ndivyo wanavyotuona
Kodi zimepigwaaaaaKuweka robot bungeni ni ushamba na ni aibu. Wapi duniani kuna nchi wameweka robot kwenye mabunge yao? Hilo robot tungeliona kiwandani na kwenye maduka na mahoteli makubwa tusingeona ni ushamba maana ni sehemu zake mahsusi kufanya kazi huko
Niwabinafsi sana. Sasa wanaona wakae na matoy bungeni kuliko watanzania wenzao. Aibu kwa spikaTuna Vibinti Vibichi Vimemaliza Masomo yao havina ajira, Virembo balaa...!
Vipo tayari hata malipo ya Posho kama hamtavipa Mshahara. Halafu Watu wanaleta Robot..!
Hii dharau kwa Kodi zetu.! DHARAU TOZO ZA KWENYE SIMU mnazovuna bila ridhaa yetu..... Mnatukumbusha machungu
Nimeamini taifa halina vijana.Tuna Vibinti Vibichi Vimemaliza Masomo yao havina ajira, Virembo balaa...!
Vipo tayari hata malipo ya Posho kama hamtavipa Mshahara. Halafu Watu wanaleta Robot..!
Hii dharau kwa Kodi zetu.! DHARAU TOZO ZA KWENYE SIMU mnazovuna bila ridhaa yetu..... Mnatukumbusha machungu