LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Huu ni ujuha na ushamba narudia kuandika. Wangenunua drone za mashambani na zana zingine za kisasa za kilimo ili kukuza sekta ya kilimo kwa kuzalisha mazao mengi shambani wangeonekana wa maana kuliko kuleta kituko hicho bungeni. Hilo robot walipeleke sehemu nyingine linakostahili kuonekana huko, hapo bungeni ni kichekesho tu