Mhimili mmoja umeweka roboti, mihimili mwingine mnasubiri nini?

Huu ni ujuha na ushamba narudia kuandika. Wangenunua drone za mashambani na zana zingine za kisasa za kilimo ili kukuza sekta ya kilimo kwa kuzalisha mazao mengi shambani wangeonekana wa maana kuliko kuleta kituko hicho bungeni. Hilo robot walipeleke sehemu nyingine linakostahili kuonekana huko, hapo bungeni ni kichekesho tu
 

Ukitazama robot ukaishia hapo ujue kuna shida mahali!

Robot Hilo linamaanisha huko tuendako (miaka 5-10), binadamu wote tutakuwa wageni humu Duniani.

Hivyo, Robot maana yake,wanadamu tujiandae maana hatujui tuendako. Technological revolution ni zaidi ya industrial revolution.
 
Basi wataomba kura kwa hayo maroboti yao
 
Huenda limetengenezwa Rwanda na huenda likapelekwa Visiwa vya Ngazija likawekewe girisi kwenye mikono ili lilainike.
 
Kabla ya kuchangia, nielimishwe kwanza kazi ya hilo roboti ni ipi hapo mjengoni
 
Kwa bunge letu la sasa, nafuu huyo Robot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…