Mhimili mmoja umeweka roboti, mihimili mwingine mnasubiri nini?

Wameleta robot moja tu au yapo na mengine? Ngoja tumuambie mbunge wetu kuwa tutakuwa mgeni wake bungeni kumbe sie lengo letu ni kwenda kushangaa hilo robot
 
Ndugu yangu

Huko tuendako, uchumi na huduma za kijamii zitatumia Robot kwa karibu 90%.

Muhimu kujipanga namna ya kuishi nazo. Tuwe sehemu ya robot lifecycle.

Ni hayo Tu
Nimetaka kujua kazi ya kile kinyago. Usinitoe kwenye hoja mkuu
 
Lete picha tuuone huo mdoli mkuu.
 
ata kama umezaliwa na unaishi Tanzania
naomba nikuambie karibu tena Tanzania kaka jisikie upo kwenye kero
Eti Ummy nae anataka hayo matoy yafanyie watu upasuaji.
Ummy kapasuliwe wewe kwanza na wenzako hapo wizarani. Hapo hata dk. Janabi humshawishi
 
Please come back Magufuli
 
Robot amekaririshwa hana response anapoulizwa vitu vingne na waandishi wa habari. Nimeangalia clip jinsi Gerald Hando anavyoteseka nalo.
 
Unalalamika bila facts, ndio shida ya watanzania wengi. Lilietwa pale kama tech demo, na si kwa matumizi yoyote hatujafika huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…