Mhimili mmoja umeweka roboti, mihimili mwingine mnasubiri nini?

Hahaa tulinape nae eti watu wameenda kumshangaa
Tatizo la afya ya akili ni kubwa
 
Robot amekaririshwa hana response anapoulizwa vitu vingne na waandishi wa habari. Nimeangalia clip jinsi Gerald Hando anavyoteseka nalo.
Mwenye tatizo la afya ya akili pekee ndio ataminyana na huo mdoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…