Una master ya 100k mapipa?Wakuu vyumba maeneo nyumba/maeneo hayo ....
TEGETA, KUNDUCHI, MBUYUNI skanka, UNUNIO, CHUMBA sebule laki mbili, Laki na nusu vipo,
Chumba masta za laki moja,vya Laki na thelasini, vyumba single vya bei za chini kuanzia Elfu sitini
magomeni mapipa, ngojea nimuulize mtuUna master ya 100k mapipa?
Ndio magomeni mapipamagomeni mapipa, ngojea nimuulize mtu
KWani jamiiforums wameondoa option ya ku-edit thread? in case of anythingHabari wakuu,
Anaeitaji nyumba/kiwanja/ chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, MAENEO KUANZIA Afrikana,mbuyuni,Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe,kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.
Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.
Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.
Cont:+255672324777
Fungua hata thread mpya, watafutaji wa vyumba na nyumba ni wengi sana na wanasumbuka sana, ukifanya hivyo itakuwa msaada mkubwaKWani jamiiforums wameondoa option ya ku-edit thread? in case of anything
ExactlyFungua hata thread mpya, watafutaji wa vyumba na nyumba ni wengi sana na wanasumbuka sana, ukifanya hivyo itakuwa msaada mkubwa
anataka akupangie chumba,zari ilo mkuu!La mama,
Umetisha sana π
ee nataka ukirudi uanze kujitegemea uache kudeka ujifunze na maisha ya chini,, usikute hata dagaa mchele hauwafahamu wewπππLa mama,
Umetisha sana π
pesa anatoa yeye mi nafanya kumsaidia kupata chumba,, huyu wa kishua brooo hazijui shida ndog ndogoππanataka akupangie chumba,zari ilo mkuu!
OMG!!ee nataka ukirudi uanze kujitegemea uache kudeka ujifunze na maisha ya chini,, usikute hata dagaa mchele hauwafahamu wewπππ
Mnajuana kumbe!!!ee nataka ukirudi uanze kujitegemea uache kudeka ujifunze na maisha ya chini,, usikute hata dagaa mchele hauwafahamu wewπππ
OMG!!
real?
ndio familia yangu hiiMnajuana kumbe!!!
sawa La mama we ukishapanga mimi nina nipanguendio
win bana π πpesa anatoa yeye mi nafanya kumsaidia kupata chumba,, huyu wa kishua brooo hazijui shida ndog ndogoππ