- Thread starter
- #81
Sawa watakuja wahitaji!Chumba na sebule na choo ndani laki na hamsini tandika mashine ya maji.kipo vizuri
Sawa watakuja wahitaji!Chumba na sebule na choo ndani laki na hamsini tandika mashine ya maji.kipo vizuri
Nyumba yenye vyumba viwili na sebule, iko peke yake, karibu na barabara ya Bagamoyo bei gani? Kama unaweza kutoa ''range'' ya bei, eg kuanzia 1111 mpaka 2222.Sawa watakuja wahitaji!
Sijaelewa mkuu... Unataka ya kununua nyumba au!?Nyumba yenye vyumba viwili na sebule, iko peke yake, karibu na barabara ya Bagamoyo bei gani? Kama unaweza kutoa ''range'' ya bei, eg kuanzia 1111 mpaka 2222.
Nyumba ya kupanga mkuu. Kuna mtu alikuwa anatafuta.Sijaelewa mkuu... Unataka ya kununua nyumba au!?
Ngojea kesho tuangalie ..bajeti yake nyumba ya sh. Ngapi,? Maana vyumba viwili sebule nyumba nzuri haipungui hadi laki tatu au laki mbili kutegemeana.Nyumba ya kupanga mkuu. Kuna mtu alikuwa anatafuta.
Nimeongea naye kaniambia ameshapata mkuu. Nyumba ya vyumba 2 na sebule , sh laki 3 kwa mwezi.Ngojea kesho tuangalie ..bajeti yake nyumba ya sh. Ngapi,? Maana vyumba viwili sebule nyumba nzuri haipungui hadi laki tatu au laki mbili kutegemeana.
PoapoaNimeongea naye kaniambia ameshapata mkuu. Nyumba ya vyumba 2 na sebule , sh laki 3 kwa mwezi.
MmmhChumba cha 80k hadi 110k , upanga napata?
SawaNiko hapa
Napata?Mmmh
Kule NoNapata?
SawaWakuu nipo Chuo kijitonyama natafta chumba 50k mitaa ya makumbusho,kutoka mwenge mpk mbezi shule hapo kati au eneo lolote la karibu nauli iwe 500 mpk makumbusho
Nicheki inbox ASAP 0758040794