Kipo maeneo ya kabla ya tegeta,unashukia pale stendi ya J.k.t,,,Naweza pata chumba maneno ya tegeta budget yang 60000
Laki tatu hadi laki nne,Vyumba 2 sebule jiko ..skansika, wazo, madale..bei gani ..ijietegemee
OkKuna kanyumba kapo sinza Palestine chumba sebule jiko choo, mwenye uhitaji anicheki PM, kodi 250, pazuri sana.
nambie mkuu
Bila shaka wewe ni mkazi wa TEGETA, nami ni mkazi wa TEGETAHabari wakuu,
Anaeitaji nyumba/kiwanja/ chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, MAENEO KUANZIA Afrikana,mbuyuni,Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe,kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.
Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.
Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.
Cont:+255672324777
hapana!Bila shaka wewe ni mkazi wa TEGETA, nami ni mkazi wa TEGETA
Sawahapana!
Ok!Sawa
PoapoaWeka nyumba na bei mkuu, update uzi na picha za nyumba zilizo wazi, vidoti doti haina maana.