Mhitaji wa chumba au nyumba maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Mkubwa, me nahitaji apartment ya vyumba viwili bagamoyo road kuanzia mwenge hadi tegeta bajeti yangu 250k kwa mwezi naweza kupata?
Kuna nyumba ina vyumba vitatu,sebule,jiko na choo cha public cha ndani, ukipita pale mbuyuni kwa mbele kuna mizani,sasa mitaa ya nyuma ya mizani,kodi ndio iyo laki mbili na hamsin..ipo vizuri tu
 
Nakucheki whatsapp unitumie picha mkuu
 
Back
Top Bottom