Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Kalemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
1,375
Reaction score
2,255
Habari wakuu,

Anaeitaji Nyumba/ Chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, MAENEO KUANZIA Afrikana,mbuyuni,Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe,kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.

Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.

Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.

Cont:+255672878020
 
Hiyo nyumba inayouzwa ungeweka picha na details nyingine kama ukubwa wa kiwanja, hati ya nyumba n.k
 
Tegeta msichoke huko sipati vyumba nataka kumpangia mdogo wangu anasoma chuo mkuu
 
Tegeta msichoke huko sipati vyumba nataka kumpangia mdogo wangu anasoma chuo mkuu
Chumba cha sh.ngapi mkuu,chumba cha kawaida kabisa ni elfu hamsini,sitini,vyoo vinakuwa vya nje,

Chumba cha choo ndani bei kuanzia laki moja,laki na hamsini,

Maeneo hata kule mji mpya kwa chini kuanzia j.k.t,skanska na huko tegeta pia...
 
nata cha elfu 50 mkuu
 
Kiasi hicho hicho kwa master location kama Mwenge inawezekana au huku hauna connection?
 
Kiasi hicho hicho kwa master location kama Mwenge inawezekana au huku hauna connection?
Bado unaitaji kuna dalali nimpe namba yako, unitext, ili akuonyeshe iko chumba
 
Back
Top Bottom