Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Kiasi hicho hicho kwa master location kama Mwenge inawezekana au huku hauna connection?
mwenge kuna vyumba vya laki moja kweli si kwa kishua kule , mi mwenyewe nataka mwezi wa nne nije kuangalia nyumba maeneo hayo ya mwenge hadi tangi bovu
 
Back
Top Bottom