Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Ulimpa huo ' Mtaji ' akashindwa ' Kujiajiri ' huko? Mlioshiba ( Matajiri ) acheni kuwa na ' dhihaka ' kwa Watu Masikini / Makapuku. Watanzania wengi wasio na Ajira wana ' Business / Project Ideas ' nyingi mno tu ila wengi Wao kinachowaumiza tu ni upatikanaji wa ' Mitaji ' na ndiyo Watu wengine kama huyu Mwenzetu aliathirika ' Kisaikolojia ' akaamua kukifanya alichokifanya. Binafsi sijafurahishwa na huku ' Kujiua ' Kwake japo kwa Mazingira aliyokuwa nayo na hali ilivyo ilikuwa ni rahisi sana kwa Shetani kumuingia na ' Kushawishika ' katika ' Kujimaliza ' huko.
Pole sana kwa Wafiwa na Marehemu. Binafsi naona somewhere kuna tatizo. Aliejiua kwa kukosa ajira aliweza kupata pesa ya kununua Pombe!
 
UJUE KILA MTU ATAONGEA LAKE LAKINI UKWELI NI KWAMBA AHADI YAKE ILISHAFIKA

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA INAPO STAHILI
 
2015-2018 only 6000+ people out of 580000+ were employed making more than 98% graduates unemployed and only >2% employed....this is the biggest tragedy ever happened in Our country...the secret is that, the government wants to make history in Contructing Roads, Railways, H.EP's, and other expensive infrastructures plus buying of Aeroplanes.while the majority of people are suffering from life hardships i.e due to mass unemployment. Guys!! We need to make some immediate reforms, 2020. Stone must leave the office.
 
Waweza kumuita hivyo ukipenda, lakini ugumu huu wa maisha alioupata kama yatima (kulingana na maelezo) angeweza kutafuta riziki kwa kuwa jambazi na siku moja akasimamisha gari la mumeo au baba yako na katika purukushani za kumpora akauwawa. Sidhani kama ungemuita mpuuzi kwa dharau hivyo badala ya majina mengine. Tumesema Ukosefu wa ajira ni bomu linalo subiri kulipuka tuu
Kweli mkuu
Tujaribu kuwa wanadamu.
 
Hela ya kununulia pombe kali alikuwa anatoa wapi?

Wenzake wanavaa vitambulisho vya Magufuli na kuingia mtaani kufanya biashara mahali popote bila kulipa kodi ,yeye anatafuta hela za kununulia pombe kali na ugoro.

Haya ndiyo madhara ya fikira za Kichadema ,
Omba ya sikufike
 
Ulimpa huo ' Mtaji ' akashindwa ' Kujiajiri ' huko? Mlioshiba ( Matajiri ) acheni kuwa na ' dhihaka ' kwa Watu Masikini / Makapuku. Watanzania wengi wasio na Ajira wana ' Business / Project Ideas ' nyingi mno tu ila wengi Wao kinachowaumiza tu ni upatikanaji wa ' Mitaji ' na ndiyo Watu wengine kama huyu Mwenzetu aliathirika ' Kisaikolojia ' akaamua kukifanya alichokifanya. Binafsi sijafurahishwa na huku ' Kujiua ' Kwake japo kwa Mazingira aliyokuwa nayo na hali ilivyo ilikuwa ni rahisi sana kwa Shetani kumuingia na ' Kushawishika ' katika ' Kujimaliza ' huko.
Wote tuliokosa mtaji tujiue?
 
Back
Top Bottom