Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Hii ndo shida ya kuwa unasoma sanaa na kuamini elimu ya makaratasi ndio mkombozi wa kila kitu kwako

Soma uelimike ukatafute pesa kwa namna nyingine
 
Kila nchi inayo historia na utamaduni wake. Kwa Tanzania wajiuwe 1000 nothing will happen.
Endelea kukusanya habari za wanaojinyonga uwawa hata kufungwa
 
Nyinyi mliobakia ambao mmemaliza hadi leo hamjapata kazi msiwe na fikira potofu kama za mwenzenu
Naigeria watu wana mastaz na wanauza nyanya sokoni
Mtakuwa nyinyi na vidigrii vyenu tena hata kingereza hamjui nani awape kazi
Tuendako naona majambazi yatakuwa mengi!Kuliko nijiue bora niingie field,wakinidungua potelea mbali,nikifanikiwa ndio hivyo nakuwa nimetoboa!
Hapa niko najaribu kuwaza kama mtu aliyekata tamaa ambaye anawaza kujiua,akipata wazo hili tu basi ni majanga!
 
Hata EFD hana ndio maana anazingua
Si ndio hapo,hafikirii kuwa kuna wengine wataona kuliko kujiua bora wakajaribu bahati kwenye ujambazi!Wakiwahiwa na kuuwawa sawa kwani ndio ulikuwa mpango,wakifanikiwa basi ndio wametoboa kimaisha!
Hii hatari kwa akili za hapa na pale hawawezi kuiona!
 
Nyie mnaomtetea ndo mjiue km hamna mtaji

ulisema post ya kwanza amejiua sababu ana magonjwa ya akili,je unajua nini kimesababisha huo ugonjwa?...........hio kujiua ni wewe ndio uliyeuliza kama huna mtaji ujiue,nilikua nakuambia ujiue tu hakuna namna….lol
 
Poleni wakuu kwa kufiwa,

Mi sina tatizo la yeye kujiua, ila njia aliyochagua kujiua. Si angejinyonga tu?

Hapo kasabahisha biashara za watu kusimama, Mall ya watu kuchafuka damu, mikusanyiko isiyo yalazima nk.

Pamoja na yote,
Vijana tuache tamaa ya kutaka vitu vikubwa, tujifunze uvumilivu.

Kuna watu wana matatizo ajira cha mtoto,
Ngoja niiishie hapa

RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…