Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
bado hujamfahamu huyu mtani wangu?Wote tuliokosa mtaji tujiue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado hujamfahamu huyu mtani wangu?Wote tuliokosa mtaji tujiue?
[emoji1787][emoji1787] namfahamu vizuribado hujamfahamu huyu mtani wangu?
Aku sijiuiJiueni mmoja baada ya mwengine,labda Jiwe ndio ataelewa….
MduduNani sasa!! mnyama ama mdudu?
Aku sijiui
Kila nchi inayo historia na utamaduni wake. Kwa Tanzania wajiuwe 1000 nothing will happen.Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua kwa kujichoma moto baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia, kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga (street vendor) kutokana na kukosa ajira, tukio liliopelea maandamano ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Wewe una kitega uchumi,ukipanua mapaja hukosi 20,000Aku sijiui
Hata EFD hana ndio maana anazinguaWewe una kitega uchumi,ukipanua mapaja hukosi 20,000
Tuendako naona majambazi yatakuwa mengi!Kuliko nijiue bora niingie field,wakinidungua potelea mbali,nikifanikiwa ndio hivyo nakuwa nimetoboa!Nyinyi mliobakia ambao mmemaliza hadi leo hamjapata kazi msiwe na fikira potofu kama za mwenzenu
Naigeria watu wana mastaz na wanauza nyanya sokoni
Mtakuwa nyinyi na vidigrii vyenu tena hata kingereza hamjui nani awape kazi
Nyie mnaomtetea ndo mjiue km hamna mtajimbona umesema huna mtaji na wewe ujiue?? kumbe haujiui..mnhh
Waliokupanulia umewawezesha?Wewe una kitega uchumi,ukipanua mapaja hukosi 20,000
Si ndio hapo,hafikirii kuwa kuna wengine wataona kuliko kujiua bora wakajaribu bahati kwenye ujambazi!Wakiwahiwa na kuuwawa sawa kwani ndio ulikuwa mpango,wakifanikiwa basi ndio wametoboa kimaisha!Hata EFD hana ndio maana anazingua
Kama kawa ila dau langu sizidishagi 10,000!Waliokupanulia umewawezesha?
Nyie mnaomtetea ndo mjiue km hamna mtaji