Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Kujiua kiboya hivyo ni kukwepa majukumu tu,Ulaya kwenyewe kuna graduates ambao ni jobless! Nini bongo
MKUU ULAYA WAKO JOBLESS LAKINI WAO KILA WEEK WANATILIWA HELA KWENYE ACCOUNT ZAO, YAANI WAZUNGU NDIO KABISA HAWAWEZI KUISHI BILA YA HELA, MM NIKO HUKU SINA KAZI MPAKA SASA ILA KILA WEEK NATILIWA ZA MATUMIZI, NA SOMETIMES IKITOKEA MICHONGO NAKUA NAFANYA KWA SIKU NAPATA NAMSHKURU MUNGU, JOBLESS WAKO LAKINI SERIKALI INAWATILIA HELA KILA WEEK
 
Binafsi nadhani tatizo lipo kwenye vyuo kuendekeza kutufundisha kwa lengo la kuajiriwa badala kujiajiri. Ukweli mchungu ni kwamba huwezi kuajiri wahitimu wote wa vyuo kila mwaka.
 
Je mgao wa keki ya taifa hauko sawa? Watunga Sera wako likizo? Vijana hawajaandaliwa kisaikolojia? Baada ya siasa kuwa ndio kipa umbele ni hatima ya uchumi na uzalishaji mali?
 
Endelea kuota! Dreaming is allowed.
 
Mkuu ujinga ni silaha ya kuwatawala watanganyika.
 
Msimu wa mvua huu kwenda shamba hamtaki mmekalia kwa ndugu zenu mjini.


Kukaa kwa ndugu bila kazi matokeo yake haya.


Mimi kipindi nimehitimu chuo ilikuwa ikifika jioni nakaa kwenye varanda nawaza ntatokaje.


Msimu wa kulima ulipofika nikakimbia kurudi kijijini kulima.


Sasa hivi nina digriii yangu lakini ni mkulima tajiri hapa kijijini
 
kwahiyo huko ulaya unaingiziwa hela kila wiki eti eeh
 
Hakuna kitu kibaya kama ukasoma halafu ukakosa pesa. RIP kamanda
 
Endelea kuota! Dreaming is allowed.
NAFKIRI UTAKUA UMEZOEA KULIPWA KWA MWEZI MKUU, KUNA WAAFRIKA HUKU WANAPIGA HELA NDEFU KWA SIKU TU, YAANI IKIFIKA IJUMAA MTU ANAKUNYWA POMBE MPAKA ANAACHA MWENYEWE, KUNA WATU WANAPIGA HELA KILA WEEK WANAWATUMIA FAMILIA ZAO AFRICA, PIA KUNA WAAFRIKA AMBAO WAMEISHI HUKU MDA MREFU WANAPASSPORT ZA HUKU COZ WANAELIMU WANAENDA KUFANYA KAZI NCHI ZA KIARABU COZ NDIKO KWENYE HELA ZAIDI, YAANI WAMESHACHOKA KUCHEZEA BARIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…