The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Alikua kasoma ila hakua kaelimika.Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua kasoma ila hakua kaelimika.Ndio ujiue jamani? Usomi wake umemsaidia nini, alikuwa anatambua kabisa kuwa ajira ni ngumu..ameshindwa kujiajiri mwanaume mzima?
Inategemea na location usibisheUwongo.Inaanzia 500
Pale kichwa kinapobaki na kazi ya kuvaa mawigi badala ya kufikiri.
siku hizi hata kufanya kazi bure wanakataa
MKUU ULAYA WAKO JOBLESS LAKINI WAO KILA WEEK WANATILIWA HELA KWENYE ACCOUNT ZAO, YAANI WAZUNGU NDIO KABISA HAWAWEZI KUISHI BILA YA HELA, MM NIKO HUKU SINA KAZI MPAKA SASA ILA KILA WEEK NATILIWA ZA MATUMIZI, NA SOMETIMES IKITOKEA MICHONGO NAKUA NAFANYA KWA SIKU NAPATA NAMSHKURU MUNGU, JOBLESS WAKO LAKINI SERIKALI INAWATILIA HELA KILA WEEKKujiua kiboya hivyo ni kukwepa majukumu tu,Ulaya kwenyewe kuna graduates ambao ni jobless! Nini bongo
Aisee ... Lakini habari inasema kwamba mama yake ni marehemu
Endelea kuota! Dreaming is allowed.MKUU ULAYA WAKO JOBLESS LAKINI WAO KILA WEEK WANATILIWA HELA KWENYE ACCOUNT ZAO, YAANI WAZUNGU NDIO KABISA HAWAWEZI KUISHI BILA YA HELA, MM NIKO HUKU SINA KAZI MPAKA SASA ILA KILA WEEK NATILIWA ZA MATUMIZI, NA SOMETIMES IKITOKEA MICHONGO NAKUA NAFANYA KWA SIKU NAPATA NAMSHKURU, JOBLESS LAKINI SERIKALI INAWATILIA HELA KILA WEEK
Mkuu ujinga ni silaha ya kuwatawala watanganyika.MKUU ULAYA WAKO JOBLESS LAKINI WAO KILA WEEK WANATILIWA HELA KWENYE ACCOUNT ZAO, YAANI WAZUNGU NDIO KABISA HAWAWEZI KUISHI BILA YA HELA, MM NIKO HUKU SINA KAZI MPAKA SASA ILA KILA WEEK NATILIWA ZA MATUMIZI, NA SOMETIMES IKITOKEA MICHONGO NAKUA NAFANYA KWA SIKU NAPATA NAMSHKURU, JOBLESS LAKINI SERIKALI INAWATILIA HELA KILA WEEK
kwahiyo huko ulaya unaingiziwa hela kila wiki eti eehMKUU ULAYA WAKO JOBLESS LAKINI WAO KILA WEEK WANATILIWA HELA KWENYE ACCOUNT ZAO, YAANI WAZUNGU NDIO KABISA HAWAWEZI KUISHI BILA YA HELA, MM NIKO HUKU SINA KAZI MPAKA SASA ILA KILA WEEK NATILIWA ZA MATUMIZI, NA SOMETIMES IKITOKEA MICHONGO NAKUA NAFANYA KWA SIKU NAPATA NAMSHKURU, JOBLESS LAKINI SERIKALI INAWATILIA HELA KILA WEEK
Endelea kuota! Dreaming is allowed.
kwahiyo huko ulaya unaingiziwa hela kila wiki eti eeh
MKUU HUKU WANALIPANA KWA WEEK, MM KILA WEEK NATILIWA HELA YA MATUMIZI NASHKURU MUNGUkwahiyo huko ulaya unaingiziwa hela kila wiki eti eeh
NAFKIRI UTAKUA UMEZOEA KULIPWA KWA MWEZI MKUU, KUNA WAAFRIKA HUKU WANAPIGA HELA NDEFU KWA SIKU TU, YAANI IKIFIKA IJUMAA MTU ANAKUNYWA POMBE MPAKA ANAACHA MWENYEWE, KUNA WATU WANAPIGA HELA KILA WEEK WANAWATUMIA FAMILIA ZAO AFRICA, PIA KUNA WAAFRIKA AMBAO WAMEISHI HUKU MDA MREFU WANAPASSPORT ZA HUKU COZ WANAELIMU WANAENDA KUFANYA KAZI NCHI ZA KIARABU COZ NDIKO KWENYE HELA ZAIDI, YAANI WAMESHACHOKA KUCHEZEA BARIDI.Endelea kuota! Dreaming is allowed.
Mkuu ujinga ni silaha ya kuwatawala watanganyika.
Ulikuwepo unashuhudia?Ukitembea namwanaume bila condom ni sawa sawa na kujiua, nahisi umeshajiua mara nyingi tuu