Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Ukirejea mwanzo nilikuambia jambo moja kuwa ukiwa na uelewa wa kutosha wa tatizo la ajira jinsi lilivyo lazima ufanye maamuzi mawili.Unaweza kuwa kwa sasa umejiajiri na umeajiri lkn baada ya kuajiriwa kwa miaka kadhaa. Suala la kujiajiri ni mchakato na kikwazo kikubwa in mtaji.
Wala tusiutupie lawama mfumo ama ubora was elimu yetu. Ndiyo maana hata Ulaya na Marekani ambako ndiko tuliiga, ajira zinaliliwa na wahitimu.
Kijana kamaliza chuo, hana chochote na familia yake ni hohe hahe atasimama vipi ajiajiri?
1). kujiandaa ama kuanza kutengeneza mazingira binafsi ya kuanza kufanya vitu vidogo vidogo & mbalimbali ili angali ukiwa ngazi ya chini (kitu ambacho nilikifanya na kujikuta sihitaji wala kufikiria kuajiriwa baada ya kuhitimu mpaka leo hii).
2). kujiandaa kisaikolojia juu ya hali halisi utakayo kumbana/pambana nayo kipindi bado unatafuta ajira, kama umejiona huna uwezo wa kujiajiri & ajira ni hitaji lako kuu.
N.B: Sijawahi ajiriwa.