Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Bado haijustify sababu zake za kujiua. Ni km vile aliamini ni lazima apate ajira. kwani hakuwa akiona wenzake wanaomaliza chuo wanakosa ajira? Ndio maana nikasema alikuwa ana matatizo mengine..yawezekana ya kiakili yakapelekea yeye kujiua.Utajiajiri vipi kwenye nchi ambayo inaua private sector? Purchasing power very low, money circulation zero, hakuna uwekezaji wowote kwa sasa, taxes very high! Huyu jiwe aombewe tu kwakweli hali so nzuri.