Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mama kuna wengine wanakosa option kabisa. Wengine wanaamua kuwa wanawake tu wapate chochote kitu.
Sema marehemu hakujiongeza. Kusoma sio sababu ya kuajiriwa fani yake. Kuna wenzie saidia fundi hawakosi elfu 10 kwa siku
Alikuwa na matatizo mengine.
 
Lawama lazima zimuendee Magufuli aliyefikisha miaka 3 ya utawala wake na miaka kadhaa bada ya anguko la uchumi wa dunia lililosababisha wafanyakazi kupunguzwa makazini na ajira kuwa ngumu.
 
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Ndiko tunakoelekea Tanzania.........
 
Ukiiipenda sana dunia na huna pesa utajiua. Elimu sio ajira. Anyway. Tumrudie Mola na tusichague kazi na kama huna kazi wala pesa basi TULIA ujikubali kabisaaaaa. Unless utajiua. Yaliwhi mkuta mtu mmoja hivi msomi akanusuriwa na Mola.
 
Sijui ni kwanini. But nathubutu kumuita mpuuzi.
Waweza kumuita hivyo ukipenda, lakini ugumu huu wa maisha alioupata kama yatima (kulingana na maelezo) angeweza kutafuta riziki kwa kuwa jambazi na siku moja akasimamisha gari la mumeo au baba yako na katika purukushani za kumpora akauwawa. Sidhani kama ungemuita mpuuzi kwa dharau hivyo badala ya majina mengine. Tumesema Ukosefu wa ajira ni bomu linalo subiri kulipuka tuu
 
Mama kuna wengine wanakosa option kabisa. Wengine wanaamua kuwa wanawake tu wapate chochote kitu.
Sema marehemu hakujiongeza. Kusoma sio sababu ya kuajiriwa fani yake. Kuna wenzie saidia fundi hawakosi elfu 10 kwa siku
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
 
Hamna trust me. Yani pakujishikiza ni kwenye vibarua ambako naamini mwanaume hachagui kazi.
 
Hela ya kununulia pombe kali alikuwa anatoa wapi?

Wenzake wanavaa vitambulisho vya Magufuli na kuingia mtaani kufanya biashara mahali popote bila kulipa kodi ,yeye anatafuta hela za kununulia pombe kali na ugoro.

Haya ndiyo madhara ya fikira za Kichadema ,
 
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Chadema toeni tamko. Makamanda tunangoja.
 
Back
Top Bottom