Bado haijustify sababu zake za kujiua. Ni km vile aliamini ni lazima apate ajira. kwani hakuwa akiona wenzake wanaomaliza chuo wanakosa ajira? Ndio maana nikasema alikuwa ana matatizo mengine..yawezekana ya kiakili yakapelekea yeye kujiua.Utajiajiri vipi kwenye nchi ambayo inaua private sector? Purchasing power very low, money circulation zero, hakuna uwekezaji wowote kwa sasa, taxes very high! Huyu jiwe aombewe tu kwakweli hali so nzuri.
Angeenda kimala au salender bridge kubeba zege flat tu huyoMarehemu ni mpuuzi sana wala si kukosa ajira
Source ni maisha magumu, na yapo hivyo siku zote tunapambana kibishibishi hatujiui.Kila mtu ana point of no return! Tuangalie source ya problems
Sababu Utaolewa so hilo huwezi ukaona kama ni tatizo...!!Ana matatizo ya akili asisingizie ajira
SawaKwani umekatazwa kujiua siujiue tu.
Utakuwa umetupunguzia mazezeta yanatotumalizia hewa ya oksijeni.
Hujawahi pata stress na depression mkuu... ogopa sanaa hiyo mambo!Sijui ni kwanini. But nathubutu kumuita mpuuzi.
So sad aiseee....
Hizi damu zitamlilia Jiwe maisha yake yote...
Apumzikekwa amani kijana yatima...
Kila kitu jiwe! Mbona akili zenu zinakua mgando kiasi icho!Na bado Mheshimiwa Rais anatwambia watanzania tutembee vifua mbele kwa kuwa we are in the right track!
Hii damu isiyo na hatia inayomwagika itaendelea kumlilia Jiwe kizazi na kizazi!
SawaSababu Utaolewa so hilo huwezi ukaona kama ni tatizo...!!
Hatari sana hii.25 anakata tamaa
Kila mtu ana point of no return! Tuangalie sources ya problemsBado haijustify sababu zake za kujiua. Ni km vile aliamini ni lazima apate ajira. kwani hakuwa akiona wenzake wanaomaliza chuo wanakosa ajira? Ndio maana nikasema alikuwa ana matatizo mengine..yawezekana ya kiakili yakapelekea yeye kujiua.
Wanaujiua[emoji735]Wanaujiua kwaajili ya papuchi nao ni wale wale, upuuzi uliopitiliza, we nijibu tu kimipasho utajua wewe, ukiulizwa umekasirika nini sijui utajibuje? Jiue bas na wewe mkuu
Maisha magumu kwa sababu gani?Source ni maisha magumu, na yapo hivyo siku zote tunapambana kibishibishi hatujiui.
SawaWanaujiua[emoji735]
Wanaojiua[emoji736]
Shishangai kwanini unafurahia kifo kanakwamba wewe ni Danga la Jehova. Licha ya yote kifo ni siri ya marehemu, by that logic kila mtu ana aina yake ya kifo na siri atabaki nayo yeye.
Ndio maana akizikwa kwa wakristo husema "BWANA ALITOA NA AMETWAA" ... Unaolewa hizo verse maana yake ??
Acha kubinua domo lako wakati hujui hata sekunde yako moja mbele kuhusu kifo chako.
Huu ni uvivu wa kufikiri, hizo Pesa za kulewea angefanya mambo mengineHatari sana hii.
Halafu watu wanatetea
Unakosea sana kusema hivyo mkuuAna matatizo ya akili asisingizie ajira
Wee jamaa kama ni mwanaume bhasi utakuwa na matatzo ya akili...!!Hatari sana hii.
Halafu watu wanatetea
Naweza kuwa nimekabili hali ngumu kuliko hata huyo jamaa.Hujawahi pata stress na depression mkuu... ogopa sanaa hiyo mambo!