Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Binafsi naona kuna kila sababu ya vitengo vya saikolojia kufanya kazi kikamilifu ndani ya jamii, na kama havipo basi vianzishwe, ili kukabiliana na msongo wa mawazo wa kiwango cha chuu, la sivyo tutasikia mengi sana katika huu ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Watu wanaweza kumshangaa jamaa kujirusha, kwa sababu wenyewe wapo "normal", lakini kiukweli kiwango cha juu cha mawazo ni hatari sana katika jamii.

Tusiwatenge watu ambao wanaonekana kuwa na msongo wa mawazo uliopitiliza, mana wanaweza kuleta madhara ndani ya jamii.Tunaona kinachotokea Marekani, mtu anaendesha gari na kuwagonga watu bila sababu, au mtu ananunua bunduki na kuwafyatulia watu bila sababu.

Tusifanye masihara na msongo wa mawazo wa kiwango cha juu ndani ya jamii, mana hakuna atakayekuwa salama.
 
Watu wanalaumu matokeo (kujiua)
Wanasahau kisababishi (hali mbaya ya uchumi wa TZ,utawala mbovu,udikteta uchwar ,unyonyaji wa raia wanyonge,n.k)

Msijadili matokeo jadilini vyanzo vya hayo matokeo .
 
Nadhani kuna umuhimu wa kuboresha huduma za ushauri nasaha vinginevyo!!!!!....??sijui tu. Anyway RIP dogo umeondoka na deni la HELSB Mungu akufikirie.
 
Hahaha sio wewe tu mkuu. Hata mimi hua niko hivo yani.
Jamaa alipenda sana hilo pozi pamoja na kujiangalia kwenye kioo. Nyumba zake zilikua na vioo vikubwa vyenye urembo sebureni.ukiingia tu unakikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…