Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Binafsi naona kuna kila sababu ya vitengo vya saikolojia kufanya kazi kikamilifu ndani ya jamii, na kama havipo basi vianzishwe, ili kukabiliana na msongo wa mawazo wa kiwango cha chuu, la sivyo tutasikia mengi sana katika huu ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Watu wanaweza kumshangaa jamaa kujirusha, kwa sababu wenyewe wapo "normal", lakini kiukweli kiwango cha juu cha mawazo ni hatari sana katika jamii.

Tusiwatenge watu ambao wanaonekana kuwa na msongo wa mawazo uliopitiliza, mana wanaweza kuleta madhara ndani ya jamii.Tunaona kinachotokea Marekani, mtu anaendesha gari na kuwagonga watu bila sababu, au mtu ananunua bunduki na kuwafyatulia watu bila sababu.

Tusifanye masihara na msongo wa mawazo wa kiwango cha juu ndani ya jamii, mana hakuna atakayekuwa salama.
 
Computer Science Graduate wa Mlimani kashidwa hata kupata kazi ya kufundisha kwenye hivi vyuo vya Diploma na Certificates? maana vyuo vingi vinahitaji waalimu wa IT; sina uhakika kama hata walimu hawa wameshajaa kote.

Hapa hapo tuseme Bwana ametwaa? Unless kuna sababu nyingine lakini kama ni ya kukosa ajira si uamuzi sahihi.
Watu wanalaumu matokeo (kujiua)
Wanasahau kisababishi (hali mbaya ya uchumi wa TZ,utawala mbovu,udikteta uchwar ,unyonyaji wa raia wanyonge,n.k)

Msijadili matokeo jadilini vyanzo vya hayo matokeo .
 
Nadhani kuna umuhimu wa kuboresha huduma za ushauri nasaha vinginevyo!!!!!....??sijui tu. Anyway RIP dogo umeondoka na deni la HELSB Mungu akufikirie.
 
Ile uliyoitoa niliipenda siyo siri. Yani sijui kwanini mimi hwa nina asscociate members na picha zaidi. Yani nikiona avatar nakumbuka kabisa mchangiaji jina lake. Ile ya Mobutu ameshika kiuno ilikuwa safi sana. Ni kama alikuwa anajiona yuko juu ya kila kitu!lol!
Hahaha sio wewe tu mkuu. Hata mimi hua niko hivo yani.
Jamaa alipenda sana hilo pozi pamoja na kujiangalia kwenye kioo. Nyumba zake zilikua na vioo vikubwa vyenye urembo sebureni.ukiingia tu unakikuta
 
Back
Top Bottom