Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Usiniambie etiii. "Ningekuwa nimekabili hali ngumu" hujui historia yangu.

Labda hapo mwisho ndio nimekuelewa. Kuwa watu tunatofautiana kwenye swala la ustahimilivu.
Eeh ukilijua hilo inatosha sanaa.. Ndo maana waliofukuzwa kazi wengne walijinyonga wengine walikuwa na hali mbaya kuliko hata waliojinyonga lakini bado walivulimia hadi leo wapo hai..
 
Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.

Imeelezwa kuwa Musa alichukua uamuzi huo kutokana na kuwa na msongo wa mawazo, kukosa kazi.

Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Desemba 21, 2018 kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Advera Bulimba amesema tukio hilo limetokea leo saa saba mchana.

Bulimba amesema kijana huyo alionekana akiwa amelewa kupita kiasi na tangu Desemba 16, 2018 na alikamatwa na kuwekwa kituo cha polisi Kirumba, kilevi kilipopungua aliachiwa.

Amesema katika uchunguzi wa awali marehemu alibainisha kuwa alikuwa na msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa kazi licha ya kuwa na elimu ya juu.

Bulimba amesema baada ya polisi kumuachia alikwenda kunywa tena pombe na baadaye kujirusha kutoka ghorofa ya tatu na kukutwa na pombe kali na ugoro.

“Uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa kijana huyo amesema amejiingiza kwenye ulevi na asilaumiwe mtu yeyote.

Amesema amechukua uamuzi huo yeye binafsi, pia akidai yeye ni masikini hana baba wala mama,” amesema Bulimba.
Amesema mwili umehifadhiwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi licha ya kutotaja jina la hospitali hiyo.

Bulimba amesema, maandishi aliyokutwa nayo marehemu yalisomeka kwamba “yeye ana shahada sayansi ya kompyuta aliyoipata Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).”
     
Kuna subliminal message hapa,ila haitusumbui sana.Hata hivyo niseme kwamba huyo kijana alikuwa na personal problems,wangapi hawana ajira na hawajinyongi?Ulaya kwenyewe ajira sasa hivi ni tatizo, sembuse Tanzania?Suluhisho la kudumu la kukosa ajira ni change in mindset na kujiajiri.But how do develop the right mindset in the first place?Please read below.


Developing the right mindset is very crucial to succeed in anything.
But what is Mindset?
Your mindset is the sum of your knowledge, including believes and thoughts about the world and yourself. It is your filter for information you get in and put out. So it determines how you receive and react to information.
It’s often used for a specific part in your life, as in “the mindset of an entrepreneur” or “the growth mindset”. Having the right mindset for what you go for is often the biggest factor in success.
Developing the right mindset is then the way to learning something new and getting out the most relevant information. Then you develop the believes that are most helpful for where you want to go or what you want to be. This belief system is then your mindset.
A good mindset will reflect reality and will help you. But not in that order. I think the order has to be like this:
Find the beliefs that are most supportive.
Check if the believes are in harmony with the reality you want to use your mindset to make a positive change. That’s why your believes don’t necessarily have to reflect your current reality. But of course the reality you believe in should be possible.
If you believe “I am a successful entrepreneur”, you will act in that way and you will be.
If you believe “I want to be a successful entrepreneur”, you will act in that way too and be one.The opposite is true.
I personally found adopting believes that seem slightly out of reach is very powerful, because it changes your mindset and therefore how you behave, for the better. It let’s you grow.

How to Change Your Mindset
The following list can help you to develop the right mindset for your situation:
1. Get the Best and relevant Information only.
Try to find the very best information in your field. Then focus on learning this information only. I personally learned that in any worthwhile field, there is more information available as needed, especially in the internet. You have to narrow down the information input to the most effective. I believe that one of the critical personal skills today is not to find information, but to select the best information and avoid that which is irrelevant to you.
Good information: Read great books/information products and some great blogs. Everything else is a waste of time. From my personal experience, most information supports procrastination and information overload.Be careful. The reason is that only a tiny fraction of the information out there is taking you really forward. You have to develop the skill of identifying this kind of information. We are talking about the right mindset here; part of it is not to get sucked into the mediocre area. You want to align yourself with the best out there.
2. Role model the best people.
This is similar to #1. Look for the best people in your field and try to model what they did right. Adopt their kind of thinking and mindset. Follow them. Of course, keep and only add what you think is right for you. That way you can actually improve and personalize their mindset to fit perfectly for you. It’s never copying, it’s taking what works for you by getting inspiration and quality input.
I realize that you can’t look into the minds of the best people in your field. But you can get plenty of information about how they are thinking, their advice, what they did. For instance if you are an entrepreneur or self-employed, here are the people that I role modeled to a certain degree: Stephen Covey, Steve Jobs, Anthony Robbins, Michael Jordan (find more here). Reading biographies of people who inspire you is a great way to start.
3. Examine your current believes.
Examine your mindset by looking at your current belief system. Are these believes supporting you? Or are they self limiting believes? You have to identify possible blocks and turn them around, Because whether you know about the limiting believes or not, they are working in your subconscious mind.
To uncover your believes ask yourself the right questions about where you want to go and what is standing in your way right now. The key then is to turn those believes around by declaring supportive statements on the same belief. To internalize these new supportive believes, you can make use of affirmations.
4. Shape your mindset with Vision and Goals.
A proactive approach to build your mindset is to clearly see where you want to go. Seeing a vision, images describing your end result clearly in your minds eye, will create a strong pull towards this end result. Then go on and break your vision into goals. It will shape your mindset to conform to your vision.
Learn and adapt from your own experience and always try to look deeper for the real reasons why you get the results you are getting.

5.Finding your voice.
One of the most beautiful things is when you find your very own way, something what you could call "finding your voice." Stephen Covey, wrote a book about that and called it "The 8th Habit (see a post from him about finding your voice):
To help you find this, answer these 4 questions.
i). What are you good at? That’s your mind.
ii). What do you love doing? That’s your heart.
iii). What need can you serve? That’s the body.
iv). And finally, what is life asking of you? What gives your life meaning and purpose? What do you feel like you should be doing? In short, what is your conscience directing you to do? That is your spirit.
Your voice is what you express 100% authentically, it is the unique thing that you can add to the world, because you are who you are. A great way to success and to develop the success mindset. Looking to find what is really you and being critical about every input you get should be part of your mindset. Stay open and flexible in your mind. Don’t judge too soon. It gives you something unique and helps you to build integrity.
6. Protect Your Mindset

One thing you have to do is to protect your mindset against the naysayers and people who want to drag you down. You also have to protect it against bad information and against overload (see #1). Keeping your confidence is a big thing. So please stay on the right path, look to improve yourself and to help others along the way. You can’t go wrong with that.
 
Dah maisha haya ,alikosa hata wa kumfariji kwamba kuna maelfu ya wahitimu kama yeye hawana ajira hivyo asikate tamaa na hivi hana wazazi dah

R.I.P Ally
 
Bachelor ya Computer scince anajiua kwa kukosa ajira? Huyo alikuwa mpumbavu.
 
Mkuu, huwa nazibadili tu .ninazo picha za chui mkubwa nyingi sana so naanglia tu inayofaa
Ile uliyoitoa niliipenda siyo siri. Yani sijui kwanini mimi hwa nina asscociate members na picha zaidi. Yani nikiona avatar nakumbuka kabisa mchangiaji jina lake. Ile ya Mobutu ameshika kiuno ilikuwa safi sana. Ni kama alikuwa anajiona yuko juu ya kila kitu!lol!
 
MKUU KILA NIKIIINGALIA HII COMMENT HUWAGA SINA MBAVUUUUU[emoji23][emoji23][emoji23], AMA KWELI WATZ WAMEVURUGWA, mkuu uliwaza nn kabla ya kucomment hahahaha
Unahongwa chupi na tecno utajuaje ugumu wa maisha kwa kukosa ajira.


Shwauni wewe.
 
Sikubaliani kwamba tatizo ni ajira. Ajira kweli hamna lakini sio kwa kiwango cha kuamua kujiua. Huyu mtu ana shahda ya Sayansi ya Compyuta bado anatafuta ajira kweli?
Itakuwa alikuwa na vyeti lakini uwezo hana. Alifaulu darasani na huenda alikuwa the best kwenye mitihani kwa sababu vyuo vyetu Tz vinakuandaa kuwa na uwezo wa kukariri na ukikariri vizuri unaitwa the best ila kichwani hakuna kitu.
Mie naomba kama kuna kijana anataka kujiua na amesoma kompyuta hasa na uwezo anao aje nimwambie cha kufanya, niko serious, nataka nimuoneshe huyu kijana ajira ilipo. Haya njooni hapa nyie wa Computer science mnaotaka kujiua kwa sababu hamuoni ajira.
Niko dsm ila kwa sikukuu hizi niko mwanza
 
Shida watu wa mikoani wanauonaga wakifika UDSM ndo wamemaliza kila kitu..mmoja wao ni huyu hapa ambae hua hakomi kuwananga watu waliosoma vyuo tofauti na UDSM, maisha mtaani hayaangalii umesoma wapi chuo kwa hio kozi aliosoma huyu bwana ingemuwesesha kufanya mambo mengi mazuri mazuri sema ndo vile amekosa exposure...
 
Usiniambie etiii. "Ningekuwa nimekabili hali ngumu" hujui historia yangu.

Labda hapo mwisho ndio nimekuelewa. Kuwa watu tunatofautiana kwenye swala la ustahimilivu.
Yani hapo ndo kuna point,kwamba how you handle it,tuko tofauti kukabiliana na matatizo mkuu..yeye ndo alifikia hapo ila haimaanishi kuwa hakuna wanaopitia matatizo kama yake
 
Back
Top Bottom