Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Pm sipapendi kwa kweli. Nisamehe bure mkuuUsinicheke mrembo Nipo serious aise Njoo bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pm sipapendi kwa kweli. Nisamehe bure mkuuUsinicheke mrembo Nipo serious aise Njoo bana
Avatar yako inaakisi post zako .Naweza kuwa nimekabili hali ngumu kuliko hata huyo jamaa.
Yani yeye hata hela ya pombe alikuwa nayo..
Na elimu alikuwa nayo... So tumaini pia lilikuwepo.
HhahahahMM MWENYEWE NIKO NJIANI BORA KUFA KULIKO HII LIFE, UTAKUAJE KILA SIKU WW TU
RIP Kijana Ally.
Mungu aiweke tuu roho pema peponi.
Haya ni matokeo ya watu kuvamia fani, kwenye ulimwengu huu wa compyuta, mtu una degree ya computer science unasubiri kuajiriwa?.
Kifo hiki ni wake up call vyuo vyetu vikuu vipunguze kufundisha theory, twende kwenye kufundisha skills mtu akihitimu anakuwa equipped with skills na kujiajiri badala ya kutegemea kuajiriwa.
Kwenye masomo technical tufuate system ya Ujerumani ya apprentiship au uanagenzi, watu wakimaliza shule wanaanzia apprentiship program wakiisha
onyesha uwezo ndipo anaripoti chuo.
P
Naamin we ni mtu mzima na maana ya kukuambia uje pmPm sipapendi kwa kweli. Nisamehe bure mkuu
Nimemkumbuka marehemu Mohamed Bouazizi(graduate) wa Tunisia aliejua baada ya askari wa Jiji huko Tunisi nchini Tunisia kukamata mali zake alizokuwa anauza kama mmachinga kutokana na kukosa ajira tukio liliopelea maandamana ya kuwang'oa madikteta katika nchi kadhaa za kiarabu(Arab Spring) kwa kuanza na aliekuwa Raisi wa Tunisia,Ben Ali na baadae Mubaraka wa Misri kisha Gaddafi wa Libya.
Mungu amuondolee adhabu zooteAlly (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.
Imeelezwa kuwa Musa alichukua uamuzi huo kutokana na kuwa na msongo wa mawazo, kukosa kazi.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Desemba 21, 2018 kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Advera Bulimba amesema tukio hilo limetokea leo saa saba mchana.
Bulimba amesema kijana huyo alionekana akiwa amelewa kupita kiasi na tangu Desemba 16, 2018 na alikamatwa na kuwekwa kituo cha polisi Kirumba, kilevi kilipopungua aliachiwa.
Amesema katika uchunguzi wa awali marehemu alibainisha kuwa alikuwa na msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa kazi licha ya kuwa na elimu ya juu.
Bulimba amesema baada ya polisi kumuachia alikwenda kunywa tena pombe na baadaye kujirusha kutoka ghorofa ya tatu na kukutwa na pombe kali na ugoro.
“Uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa kijana huyo amesema amejiingiza kwenye ulevi na asilaumiwe mtu yeyote.
Amesema amechukua uamuzi huo yeye binafsi, pia akidai yeye ni masikini hana baba wala mama,” amesema Bulimba.
Amesema mwili umehifadhiwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi licha ya kutotaja jina la hospitali hiyo.
Bulimba amesema, maandishi aliyokutwa nayo marehemu yalisomeka kwamba “yeye ana shahada sayansi ya kompyuta aliyoipata Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).”
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Naamin we ni mtu mzima na maana ya kukuambia uje pm
Hiv kwa nini unawaza vingine??
So sad aiseee....
Hizi damu zitamlilia Jiwe maisha yake yote...
Apumzikekwa amani kijana yatima...
Moja,Hana ajira hana pesa ila kalewa chakali.Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.
Imeelezwa kuwa Musa alichukua uamuzi huo kutokana na kuwa na msongo wa mawazo, kukosa kazi.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Desemba 21, 2018 kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Advera Bulimba amesema tukio hilo limetokea leo saa saba mchana.
Bulimba amesema kijana huyo alionekana akiwa amelewa kupita kiasi na tangu Desemba 16, 2018 na alikamatwa na kuwekwa kituo cha polisi Kirumba, kilevi kilipopungua aliachiwa.
Amesema katika uchunguzi wa awali marehemu alibainisha kuwa alikuwa na msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa kazi licha ya kuwa na elimu ya juu.
Bulimba amesema baada ya polisi kumuachia alikwenda kunywa tena pombe na baadaye kujirusha kutoka ghorofa ya tatu na kukutwa na pombe kali na ugoro.
“Uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa kijana huyo amesema amejiingiza kwenye ulevi na asilaumiwe mtu yeyote.
Amesema amechukua uamuzi huo yeye binafsi, pia akidai yeye ni masikini hana baba wala mama,” amesema Bulimba.
Amesema mwili umehifadhiwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi licha ya kutotaja jina la hospitali hiyo.
Bulimba amesema, maandishi aliyokutwa nayo marehemu yalisomeka kwamba “yeye ana shahada sayansi ya kompyuta aliyoipata Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).”
Usijitoe akili, eti uende wizarani, uombe kazi utaje na mshahara ili wakupe kazi, unadhani ni rahisi tu kama unavyotamkaHivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Ni fedhea sana .. Yani unakuwa kama chiziMaskini. Apumzike kwa amani. Hakuna kitu kinatia mawazo kwa mtoto wa kiume kama akose chanzo cha pesa.