James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kuna baadhinya kozi vyuo vipunguze udahiri. Kozi zifanyiwe uhakiki.l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu dar kazi ndo zipo siyo, na hawa wahitimu walijazana mtaani huku dar vp, hizo kazi hawazioniJamaa amezingua sana aisee, sitaki kuamini ukoo wao mzima pia hakukua na wa kumsaidia nauli aende huko dar jiwe alipotuambia vijana tukaombe kazi
Kweli mkuu, Elimu yetu ya Tz imetufanya tusiwe wabunifu, kijana akishahitimu level flani ya elimu anabweteka kusubiri ajira, kuna vijana wa VETA wabapiga pesa.Mama kuna wengine wanakosa option kabisa. Wengine wanaamua kuwa wanawake tu wapate chochote kitu.
Sema marehemu hakujiongeza. Kusoma sio sababu ya kuajiriwa fani yake. Kuna wenzie saidia fundi hawakosi elfu 10 kwa siku
mkuu hata ukipata hiyo ya laki tatu yenyewe mshukuru MunguHivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Tuko vizuri sana! Wia on raiti traki!Na bado Mheshimiwa Rais anatwambia watanzania tutembee vifua mbele kwa kuwa we are in the right track!
Hii damu isiyo na hatia inayomwagika itaendelea kumlilia Jiwe kizazi na kizazi!
Kaka tunza hizo takataka kwenye kichwa chako maana ndo sehemu yake,Wee mgerasi Jiwe a one term president must face trial when his one term ends for the all atrocities he has committed to Tanzanians
Hivi mkuu unaishi Tanzania gani hio ambayo eti unaenda wizarani tu unawaambia nipeni kazi mshahara laki tatu??Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Maskini. Apumzike kwa amani. Hakuna kitu kinatia mawazo kwa mtoto wa kiume kama akose chanzo cha pesa.
Unaambiwa hana wazazi, sasa ivyo vigeregere alipigia wapi???Mama yake alikuwa anapiga vigelegele wakati jiwe anapiga push-ups
Hiyo ni topic nyingine. Watu wengi wangejiua kama ndio hivyo. ni kwamba uvumilivu wake umeishia hapo ila hakupaswa kuchukua uamuzi Kama huo. Hela ya pombe alikuwa anapata wapi?
Siungi mkono watu kujiua ila wewe unaemdihaki marehemu usikute ulipata degree yako kwa mbunye na kuajiliwa kwa kugongwa, sasa mwenzio hakua navyo hivyo ulivyotoaAna matatizo ya akili asisingizie ajira
Sawa mkuuSiyo kila anaekunywa pombe ana hela binti
SawaSiungi mkono watu kujiua ila wewe unaemdihaki marehemu usikute ulipata degree yako kwa mbunye na kuajiliwa kwa kugongwa, sasa mwenzio hakua navyo hivyo ulivyotoa
Hela ya pombe mtu hana ajira alikuwa akipata wapi?wenye ajira kibao hawanywi pombe sababu mshahara mdogo yeye pesa Za kulewa hivyo bila kazi alikuwa akizipata wapi?hela ya Pombe alikua anapata wapi kila siku
Sikubaliani kwamba tatizo ni ajira. Ajira kweli hamna lakini sio kwa kiwango cha kuamua kujiua. Huyu mtu ana shahda ya Sayansi ya Compyuta bado anatafuta ajira kweli?
Itakuwa alikuwa na vyeti lakini uwezo hana. Alifaulu darasani na huenda alikuwa the best kwenye mitihani kwa sababu vyuo vyetu Tz vinakuandaa kuwa na uwezo wa kukariri na ukikariri vizuri unaitwa the best ila kichwani hakuna kitu.
Mie naomba kama kuna kijana anataka kujiua na amesoma kompyuta hasa na uwezo anao aje nimwambie cha kufanya, niko serious, nataka nimuoneshe huyu kijana ajira ilipo. Haya njooni hapa nyie wa Computer science mnaotaka kujiua kwa sababu hamuoni ajira.
Niko dsm ila kwa sikukuu hizi niko mwanza