Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Kuna baadhinya kozi vyuo vipunguze udahiri. Kozi zifanyiwe uhakiki.l
 
Mama kuna wengine wanakosa option kabisa. Wengine wanaamua kuwa wanawake tu wapate chochote kitu.
Sema marehemu hakujiongeza. Kusoma sio sababu ya kuajiriwa fani yake. Kuna wenzie saidia fundi hawakosi elfu 10 kwa siku
Kweli mkuu, Elimu yetu ya Tz imetufanya tusiwe wabunifu, kijana akishahitimu level flani ya elimu anabweteka kusubiri ajira, kuna vijana wa VETA wabapiga pesa.
 
hela ya kulewa pombe hivyo alitoa wapi kama hana ajira si angewekeza hata biashara ya genge akipata? Wauza magenge mama nitilie kibao wana family na nyumba za kupanga kwa mtaji wa genge wa elfu 20 huyo vipi?
 
zaman kozi kama hizi ulikuwa huwezi kukosa ajira.lakin saiz sio Art wala sayansi wote ni kilio.je?mapinduzi ya viwanda yatakujaje.
 
Labda niulize, mnauhakika marehemu hakutumia cha arusha siku anajirusha uko gorofani???
 
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
mkuu hata ukipata hiyo ya laki tatu yenyewe mshukuru Mungu
 
Inasikitisha sana watu wanaongea kimzaha mzaha eti kwanini asingejiajili

Mtaji angetoa wapi? Hata Desktop Computer yahitaji pesa.

Kusema kuwa Marehemu alikuwa ni Chizi ni kumkosea heshima.

Ukweli alikuwa na Depressions, Msongo wa Mawazo ulimsumbua Wanaojua Psychology watatuambia kuliko Hao waswahili hapo juu wanaodakia maneno bila kujua marehemu alipitia mangapi?

Kumjudge mtu bila kujua yamemsibu mangapi ni upimbi uliopitiliza. Musiisemee nafsi ya mtu huenda kuna yaliyomkuta zaidi ya hayo mliyosikia

La muhimu ni kumuombea tu uko aendako apate pumziko la amani kuliko kumkejeli kwa uamuzi aliochukua.
 
Wee mgerasi Jiwe a one term president must face trial when his one term ends for the all atrocities he has committed to Tanzanians
Kaka tunza hizo takataka kwenye kichwa chako maana ndo sehemu yake,

Rudi kwa ras simba broo!
 
Hivi ukiwa na degree kama hiyo yake uende wizarani au kampuni yoyote uombe kazi ya kujishkiza mshahara uwaombe laki 3 per month hupati kweli ajira ?
Kuna kampuni ambayo ukiwaomba mshahara hata wa laki 2 na accomodation watakataa ?
Hivi mkuu unaishi Tanzania gani hio ambayo eti unaenda wizarani tu unawaambia nipeni kazi mshahara laki tatu??


Kuingia tu geti la wizara hayo maswali utakayopigwa hapo mlangoni na walinzi hautarudi Tena aisee.
Nadhani haujawahi kwenda wizara yoyote hapa nchini.
 
Siungi mkono watu kujiua ila wewe unaemdihaki marehemu usikute ulipata degree yako kwa mbunye na kuajiliwa kwa kugongwa, sasa mwenzio hakua navyo hivyo ulivyotoa
Sawa
 
hela ya Pombe alikua anapata wapi kila siku
Hela ya pombe mtu hana ajira alikuwa akipata wapi?wenye ajira kibao hawanywi pombe sababu mshahara mdogo yeye pesa Za kulewa hivyo bila kazi alikuwa akizipata wapi?
 
Sikubaliani kwamba tatizo ni ajira. Ajira kweli hamna lakini sio kwa kiwango cha kuamua kujiua. Huyu mtu ana shahda ya Sayansi ya Compyuta bado anatafuta ajira kweli?
Itakuwa alikuwa na vyeti lakini uwezo hana. Alifaulu darasani na huenda alikuwa the best kwenye mitihani kwa sababu vyuo vyetu Tz vinakuandaa kuwa na uwezo wa kukariri na ukikariri vizuri unaitwa the best ila kichwani hakuna kitu.
Mie naomba kama kuna kijana anataka kujiua na amesoma kompyuta hasa na uwezo anao aje nimwambie cha kufanya, niko serious, nataka nimuoneshe huyu kijana ajira ilipo. Haya njooni hapa nyie wa Computer science mnaotaka kujiua kwa sababu hamuoni ajira.
Niko dsm ila kwa sikukuu hizi niko mwanza

Depression imesababisha yote haya
 
Back
Top Bottom