Una ahidiwa pepoNA MIAKA HII MACHIZI TUTAKUA WENGI MNO MAANA SIO KWA VIWANDA IVI
Kumbe ni moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ahidiwa pepoNA MIAKA HII MACHIZI TUTAKUA WENGI MNO MAANA SIO KWA VIWANDA IVI
Sawa, we (graduate wa mlimani) endelea na hiyo sera ya kupinga kila kitu cha magu na kusifia kila kitu cha msaliti basi.Na wewe acha tabia za kike, Magu sio mume wako mpaka ukimbie kumkingia kifua kwenye mambo yasiyohitajika kukingiwa kifua, mambo hayo hufanywa na wanawake kwa waume wao tu.
unaweza onyesha wapi nimeiponda UDSM ?
Wewe kama hauoni ni jambo la kushangaza kwamba muhitimu wa computer science anakosa ajira katika dhama hizi utakuwa unatatizo kubwa sana na lazima linaendana na kuwa subiri ulete.
Au unabisha Magu hakusema UDSM ndio chuo bora nchini?
Unajuwa maana ya Umkhonto We Sizwe? Au unavamia majina tu?Sawa, we (graduate wa mlimani) endelea na hiyo sera ya kupinga kila kitu cha magu na kusifia kila kitu cha msaliti basi.
Sawa, we (graduate wa mlimani) endelea na hiyo sera ya kupinga kila kitu cha magu na kusifia kila kitu cha msaliti basi.
Unajuwa maana ya Umkhonto We Sizwe? Au unavamia majina tu?
Angalia nimejiunga lini JF ndo utajua!Unajuwa maana ya Umkhonto We Sizwe? Au unavamia majina tu?
Kwani nani kakwambia lissu anakutafuta kukutoa kwenye ndoa yako?Tena usirudie tena kuniquote kwa kuchomekea mambo ya lissu, Mimi ni mume wa mke mmoja na sina mpango wa kuchepuka.
"Unafikiri" sio vibaya maana kufikiri sio kosa kisheriaNafikiri ni kosa kisheria kushea picha ya maiti mtandaoni.
huyo kajiua kwa upumbavu wake kama ana degree kashindwa kujigegemea na darasa la saba afanyeje vyuma kukaza siyo tiketi ya kujiua bali nguvu ya kukufanya ufikiri zaidi.Jiwe anaambiwa vyuma vimekaza yy anagawa vitambulisho. Angalia sasa kijana mdogo kajiua.
Unajua serikali inatoa asilimia ngapi ya ajira nchini? Unadhani hata serikali ikiajri itafikisha watu milioni moja?Kwanini magufuli hatoi ajira?? Ana matatizo gani?
Hujui kuwa kuna pombe mpaka za 500 tsh. Hata kama akinywa chupa 20 maana yake anakuwa ametumia elfu 10.Pole sana kwa Wafiwa na Marehemu. Binafsi naona somewhere kuna tatizo. Aliejiua kwa kukosa ajira aliweza kupata pesa ya kununua Pombe!
Tatizo la ajira ni kubwa sana hapa nchi kuliko maelezo sera sekt binafsi sio rafiki na Serekali yetu inalichukulia poa baadhi ya wachangiaji hapa wanaona sawa ila ni hatari sana hata kwa usalama wa Nchi yale makundi ya kigaidi Alli Shabab na IS wakifungua dirisha dogo la usajili unafikiri watavuna watu wangapi ?Unajua serikali inatoa asilimia ngapi ya ajira nchini? Unadhani hata serikali ikiajri itafikisha watu milioni moja?
Lazima nchini iwekeze kwenye industries na agriculture ili vijana wapate ajira.
Hizo "industries" na "agriculture" ziko wapi? au umezifungia kwenye mifuko yako ya suruali?Unajua serikali inatoa asilimia ngapi ya ajira nchini? Unadhani hata serikali ikiajri itafikisha watu milioni moja?
Lazima nchi iwekeze kwenye industries na agriculture ili vijana wapate ajira.