Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

Na wewe acha tabia za kike, Magu sio mume wako mpaka ukimbie kumkingia kifua kwenye mambo yasiyohitajika kukingiwa kifua, mambo hayo hufanywa na wanawake kwa waume wao tu.

unaweza onyesha wapi nimeiponda UDSM ?

Wewe kama hauoni ni jambo la kushangaza kwamba muhitimu wa computer science anakosa ajira katika dhama hizi utakuwa unatatizo kubwa sana na lazima linaendana na kuwa subiri ulete.

Au unabisha Magu hakusema UDSM ndio chuo bora nchini?
Sawa, we (graduate wa mlimani) endelea na hiyo sera ya kupinga kila kitu cha magu na kusifia kila kitu cha msaliti basi.
 
Sawa, we (graduate wa mlimani) endelea na hiyo sera ya kupinga kila kitu cha magu na kusifia kila kitu cha msaliti basi.

Tena usirudie tena kuniquote kwa kuchomekea mambo ya lissu, Mimi ni mume wa mke mmoja na sina mpango wa kuchepuka.
 
Mawee,inabidi rock city mall wa-review security protocal kudetect abnormal behaviours kama hizi,ugaidi,,kurusha binadamu kutoka juu na ikibidi waongeze urefu wa izo nondo ili iwe ngumu kujirusha kirahisi au walinzi waongeze kuprevent
 
Mtu kama huyo alikuwa ameshaonyesha dalili zote za msongo wa mawazo, haikustahili kumkamata na kumuachia, ni vyema angepelekwa kwa wataalamu wa saikolojia. Kama polisi hawana hao wataalamu, wangempeleka hospitalini kwa msaada zaidi.

Msongo wa mawazo ni hatari sana, hakuna njia nyingine ya kuepukana nao zaidi ya kushirikisha watu wengine (ambao hawana hiyo hali) wakupe njia sahihi ya kujinasua.
 
Kwanini magufuli hatoi ajira?? Ana matatizo gani?
Unajua serikali inatoa asilimia ngapi ya ajira nchini? Unadhani hata serikali ikiajri itafikisha watu milioni moja?

Lazima nchi iwekeze kwenye industries na agriculture ili vijana wapate ajira.
 
Tunaweza tukawa na mitizamo tofauti kulingana na utashi wetu. Lakini taifa linapofikia kuanza kuzalisha vijana wenye mioyo ya kutoona thamani ya maisha yao ni HATARI SANA. Mungu atuvushe
 
Pole sana kwa Wafiwa na Marehemu. Binafsi naona somewhere kuna tatizo. Aliejiua kwa kukosa ajira aliweza kupata pesa ya kununua Pombe!
Hujui kuwa kuna pombe mpaka za 500 tsh. Hata kama akinywa chupa 20 maana yake anakuwa ametumia elfu 10.

Hivi kwa nchi hii unaweza anza biashara kwa shilingi 10,000. Acheni dharau za kutokuwa na shuruba ya maisha
 
Unajua serikali inatoa asilimia ngapi ya ajira nchini? Unadhani hata serikali ikiajri itafikisha watu milioni moja?

Lazima nchini iwekeze kwenye industries na agriculture ili vijana wapate ajira.
Tatizo la ajira ni kubwa sana hapa nchi kuliko maelezo sera sekt binafsi sio rafiki na Serekali yetu inalichukulia poa baadhi ya wachangiaji hapa wanaona sawa ila ni hatari sana hata kwa usalama wa Nchi yale makundi ya kigaidi Alli Shabab na IS wakifungua dirisha dogo la usajili unafikiri watavuna watu wangapi ?
 
Unajua serikali inatoa asilimia ngapi ya ajira nchini? Unadhani hata serikali ikiajri itafikisha watu milioni moja?

Lazima nchi iwekeze kwenye industries na agriculture ili vijana wapate ajira.
Hizo "industries" na "agriculture" ziko wapi? au umezifungia kwenye mifuko yako ya suruali?
 
pepo hilo......pepo la mauti..
Si bora angejiover dose na dawa akalala kwa amani kabisa...
RIP
 
Atakuwa wa vidole viwili huyu. [emoji23][emoji16]R. I. p
 
Back
Top Bottom