Mhitimu wa UDOM adai Bodi ya Mikopo inamlipisha deni la chuo ambacho hajawahi kusoma

Nenda ofisi ya karibu,ukimaliza deni hua bado wanaendelea kukata,Wanaiba hao 😀
 
Wapeleke mahakama. Hii kesi ni nzuri sana kwako nawatakulipa na fidia na mkopa unaishia hapo hapo.
 
Na tunakuja huko huko tupo tunaandaa mafaili yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Jiandae kunywa Chai mchana kweupe jua la utosi na kula mpakani mwa mchana na usiku.
Aisee hata mimi Sina mpango wa kulipa. Nimekupa kama mwigulu anavyokula kodi zetu..
 
Reactions: apk
Yaani huko kwenye mikopo kuna shida kweli. Hata vyuo vingine hawawapi wanafunzi ile hela yote ya boom wanawafyeka halafu wakati wa kulipa analipa hata ambacho hakutumia yeye
Chuo gani hicho mkuu
 


Kwa nini unaogopa kwenda mahakamani? Ma Tanzania makondoo sana, tafuta ushahidi wa majibu yao kwa kuwa record nenda mahakamani, wa Tanzania mnaelemika kwa ajila kufanya tu kazi, sio kwa ajili yenu.
 
Upo mkoa gani? Ulishafungua account heslb kuangalia taarifa ya makato?
 
Wewee... Unadakwa soon..
 
Pole sana mkuu .. kipindi hicho pale MUCE kulikuwa kuna muhuni mmoja anaitwa Mushi. Aliiba sana pesa. Hiyo yako imo.

Alitumbuliwa na Magu.

Nenda kama ulivyiambiwa ila utaambulia zungushwa. Kama walivyishauri wadau, dai haki yako mahakamani.
 
Kuna mtu katumia cheti chako na akalamba mkopo
 
Sasa kama ulitoa taarifa na bado unakatwa kwa nini usiende mahakamani?

Kwa nini Watanzania hatupendi kupelekana mahakamani kutatua migogoro hasa inayohusiana na serikali? Unahisi ukienda kuwashtaki bodi mahakamani utafukuzwa kazi?
 
Wezi hao, hiyo hela wamekula kwa kushirikiana yaani loan board na hai MUCE.
Paza sauti, nenda kwenye media mbali mbali sauti isikike, selikali ikisikia utapata ufumbuzi ili wafiche aibu.

Au nenda mahakamani kabisa.
 
Na tunakuja huko huko tupo tunaandaa mafaili yenu🤣🤣🤣.
Jiandae kunywa Chai mchana kweupe jua la utosi na kula mpakani mwa mchana na usiku.
Khahahahahahaha,hamtaiweza sekta binafsi mkuu.
Wengi tupo sehemu ambayo ni ngumu kutufikia.
Kama niliotea,Bora kufanya sekta binafsi hakuna njaa Kama Serikalini.
Maana,Serikalini mtumishi anauhakika WA kufanya kazi mda mrefu sawa,ila shida anakuwa kwenye maumivu pia ya MDA mrefu.
Pole yao.
 
"Richard M.Philemon " kumbe bodi wanatoaga mikopo hadi kwa wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…