Mhubiri 3:1-8. Kila kitu kina wakati wake na huu ni Wakati wa kuanguka kwa Utawala huu.

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Hivi ndiyo muhubiri anasema

"Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa kucheka; wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza; wakati wa kutupa mawe na wakati wa kuyakusanya mawe pamoja; wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia; wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza; wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa; wakati wa kurarua na wakati wa kushona; wakati wa kukaa kimya na wakati wa kuongea; wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia; wakati wa vita na wakati wa amani".

Huu ni wakati wa CCM kuanguka na Serikali yake, hakuna namna itapona. Walijua wakiua watu wataogopa kuikosoa badala yake Wakosoaji wameongezeka hadi watoto wadogo.

Mwisho kwa machawa, hakuna sifa itaiponya CCM, tambueni sasa ni muda na majira ya CCM kuiachia nchi
 
Watakuteka shauri yako
 
Yaani Nyerere alitengeneza wa msoga akaua chama. RIP sisiyem.
 
Kuanguka wanaweza kuamka, wanapaswa kufa kabisa.
 
Back
Top Bottom