Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Hata Nabii T. Joshua nae alitabiri Trump atashindwa katika uchaguzi wa Marekani, sishangai.
 
Jehova baba ashukuliwe.Amina nabii mtumishi wa mungu
Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.

Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.

Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.

Nipashe
 
Angeyasema hayo akiwa huko huko kwao, kumbe yupo kwetu
 
Kama ikitokea ikafika miaka saba na unabii hujakamilika anapaswa kunyoonyeshewa kidole
 
ZABURI 54 ni kwa ajili ya MAMA TANZANIA walahi!
734A701D-0AE9-4BF0-A114-34054AB55E63.jpeg
 
Yuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
Fanya ugunduzi wako ili CDM wasisusie uchaguzi
 
Watu washajua uzaifu wake sasa wanamlia timing wampige pesa kwa kumsifia tu!!
 
Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.

Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.

Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.

Nipashe
Hilo neno la mwisho ( nipashe ) limenikatisha tamaa
 
Uzuri wa mitandaoni ni kwamba wakati mwingine hujui unajibizana na nani na anamamlaka gani.
Sins haja ya kupoteza muda kuomba kucancel maombi yako haya. Automatically yamejikanseli na yataipata familia yako kila ulilolitaja.
Huyu ni tapeli. Nipe inbox number yako ya WhatsApp nikutumie baadhi ya video zinazothibitisha kuwa ni muhuni kama wahuni wengine.
[QUOTqE="ISIS, post: 28449732, member: 363774"]Mpumbavu sana wewe walahi!
Angesema vita ndio ungefurahia!
Basi kwa sababu hukuamini hakika vita haitaisha kwenye familia yako milele yote walahi nakwambia!
With Almighty One speed walahi[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom