YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Subiri nitaatach Niko airport Nairobi narudi dar simu nashindwa Ku attachtAkili zako kama za jiwe,mimi nimeona utube hutaki kanye jela shubamit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri nitaatach Niko airport Nairobi narudi dar simu nashindwa Ku attachtAkili zako kama za jiwe,mimi nimeona utube hutaki kanye jela shubamit
Ulweso kuna mada inakuhusu mmu nashangaa sijakuona kule au umestaafuDuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.
Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.
Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.
Nipashe
Inanihusu mimi jamani? Hapa nishachoka nataka kujiondokea, inahusu nini nijaribu kuitafuta [emoji1] [emoji1]Ulweso kuna mada inakuhusu mmu nashangaa sijakuona kule au umestaafu
Kilimanjaro, Moshi town!Angeyasema hayo akiwa huko huko kwao, kumbe yupo kwetu
Fanya ugunduzi wako ili CDM wasisusie uchaguziYuko sahihi mimi mwenyewe kuna kitu Niko mbioni kumalizia ugunduzi wangu ambacho kitaifanya Tanzania ing'are Na kujulikana sana sana kimataifa.Watanzania tukiamua tunaweza.Cha kwangu ni kimoja kitakachoipaisha Tanzania anga za kimataifa
Huwa sipokei neno la wajinga wa kijani am soreSubiri nitaatach Niko airport Nairobi narudi dar simu nashindwa Ku attacht
Hilo neno la mwisho ( nipashe ) limenikatisha tamaaMhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba ijayo kuanzia sasa, kwa Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia.
Nabii Bushiri maarufu zaidi kama Major 1, pia amesema katika kipindi hicho, kutatokea ugunduzi katika nchi ya Tanzania kwa vijana wadogo kugundua vitu vingi vya kisayansi, kwa vile mkono wa Mungu uko juu ya nchi yao na nchi yao itaendelea kuimarika zaidi na Zaidi.
Nabii Bushiri yupo mkoani Kilimanjaro katika mkutano wa Kimataifa wa siku tatu unaofanyika katika viwanja vya Ushirika.
Nipashe
huyo Bushiri hata kiswahili hajui ....Una ubishi wa kipumbavu we JamaaAkili zako kama za jiwe,mimi nimeona utube hutaki kanye jela shubamit
Wewe mchicha mwiba ndio unashidahuyo Bushiri hata kiswahili hajui ....Una ubishi wa kipumbavu we Jamaa