Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Tanzania igundue nini bana kuna maonyesho fulani ya wanasayansi chipukizi wa shule za secondary wakaleta onyesho la jinsi viazi ulaya vilivyo na uwezo wa kutoa energy katika pitapita zangu YouTube nikaona wazungu wameshafanya hcho kitu zamani mno
Walivyo mburura wanafunzi hawa they recommend tanesco watumie ugunduzi wao
Nyingine ni ya watoto wa SJUT kwenye maonyesho yao mlimani city uwiiiiiiiiiiii zilipendwa
 
Alikuibia nini? Kanisa lake linakuwa financed Na business zake sio sadaka Na mafungu ya kumi.Ni mtu pekee anayetaka matajiri wafungue makanisa sababu Yesu aliajiri mitume ambao wote walikuwa Na kazi hakuajiri jobless wanaotegemea sadaka Na mafungu ya kumi kuishi kwenye huduma.Petro alikuwa mvuvi Na paulo mshona Hema,Yesu selemala nk Bushiri ni bilionea business man anayefanya kazi ya Mungu anayetaka wenye pesa wafungue makanisa watakayosimamia wenyewe Na kuya finance wasiishie kuzila tu
Mkuu na wewe ni Nabii?
 
Hata Nabii T. Joshua nae alitabiri Trump atashindwa katika uchaguzi wa Marekani, sishangai.
Nabii Joshua pia akatabili Lowasa atakuwa raisi na leo ndo Raisi wetu wa Jamuhuri ya watu wa CDM!!

Tupige kazi tupige hela, manabii nao wako kazini wanapiga hela.
 
Hahahaaaa...... Ni kweli yani.
 
huyu jamaa ndo alitumiaga IPAD kumuonyesha mmoja wa waumini wake mtoto. Icheck hapa chini
Kwanini huoni mwenye mtoto alikua anashangaa amewezaje kupata picha ya mwanae sasa hiyo trick vipi,na aliomba ipad kwa mtu,miracles happen banah
 
Msipende kuwaamini hawa watu
Kwanini, huyu mtumishi wa Mungu mimi naona hana shida ila watanzania kwa kupokea uongo na kusambaza hatujambo,mtumishi huyu watu wengi sana humsema vibaya ila sioni mabaya yake zaidi ya mazuri,
 
Akili za kuambiwa,changanya na zako.Mimi nilikuwepo kwa zote tatu.Tokea tarehe 18 mpaka Jana tarehe 20.Unabii umefanyika hadharani,wagonjwa wamepona hadharani na shuhuda pia zimetolewa hadharani.Hivyo kama maandiko yanavyosema,kuwa tusinene mabaya juu ya watumishi wa Mungu,tunapaswa kuishi katika neno la Mungu.Nashukuru Mungu kupitia mkutano huo nimepata kuimarika kiimani.Tofauti za madhehebu au makanisa yetu yasitufanye mahakimu kwa wengine.Ndio maana hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake,wasiwazuie watu wengine kutoa pepo kwa jina lake.Ndugu zangu jitahidini kuifahamu kweli,nayo kweli itawaweka Huru.Tulianza salama na tulimaliza salama.Wana wa Mungu siku zote tusiwe mahakimu,ili nasi tusije tukahukumiwa.Mimi hata mawaidha ya kiislamu pia huwa ninayasikiliza,na Dini nyingine pia.Watu wameguswa wakaenda,utasemaje ni wajinga au manyumbu?The same to Jesus,alifanya miujiza yote na akawahubiria pia.Na bado walimuua.Je,hilo litashindikanaje kwa viongozi wetu wa kiroho wa kizazi chetu?Amini ukionacho ni sahihi kwako.Mwenyezi Mungu ambariki Prophet Bushiri na viongozi wote wa Kiroho,Amina.
 
Mkuu sadaka mlikuwa mnatupia sh ngapi ngapi? Naomba nikutumie ka namba kangu ka Halopesa unirushie japo ka 5,000 nile asee!!
 
Km cherehani 4 ni Kiwanda! Tanzania itaongoza dunia, sio Africa
 
Watu wamesuzwa vizuri Roho zao ili sadaka itoke ya kutosha wengine watahisi kaiombea kwa Mungu
 
Akili za kuambiwa,changanya na zako.Mimi nilikuwepo kwa zote tatu.Tokea tarehe 18 mpaka Jana tarehe 20.Unabii umefanyika hadharani,wagonjwa wamepona hadharani na shuhuda pia zimetolewa hadharani.Hivyo kama maandiko yanavyosema,kuwa tusinene mabaya juu ya watumishi wa Mungu,tunapaswa kuishi katika neno la Mungu.Nashukuru Mungu kupitia mkutano huo nimepata kuimarika kiimani.Tofauti za madhehebu au makanisa yetu yasitufanye mahakimu kwa wengine.Ndio maana hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake,wasiwazuie watu wengine kutoa pepo kwa jina lake.Ndugu zangu jitahidini kuifahamu kweli,nayo kweli itawaweka Huru.Tulianza salama na tulimaliza salama.Wana wa Mungu siku zote tusiwe mahakimu,ili nasi tusije tukahukumiwa.Mimi hata mawaidha ya kiislamu pia huwa ninayasikiliza,na Dini nyingine pia.Watu wameguswa wakaenda,utasemaje ni wajinga au manyumbu?The same to Jesus,alifanya miujiza yote na akawahubiria pia.Na bado walimuua.Je,hilo litashindikanaje kwa viongozi wetu wa kiroho wa kizazi chetu?Amini ukionacho ni sahihi kwako.Mwenyezi Mungu ambariki Prophet Bushiri na viongozi wote wa Kiroho,Amina.
ushajaa kwenye formula, miujiza hata shetan anafanya, huyo bushir kama ni nabii yupo toka juz kwann hakuona unabii wa Ajar ya mv nyerere? huyo ni tapel mkubwa
 
Hapo ndo nawakubaligi manabii wa uongo. Wanapiga mihela balaa then wanaishi kama wako peponi na nyumbu mbugani hawaishi, wanawafuata tu na wanakamuliwa mihela mpk senti ya mwisho!!!

Ukirogwa ubongo na manabii umeshamalizwa!!

Na wewe kajaribu kuwa nabii wa uongo, tuone kama utapiga kama wao. Mambo mengine ni bora kupambana na halu yako kuliko kusema mabaya ya watu au kuhangaika na iasue za watu, huku unakufa njaa au na umaskini.
 
Back
Top Bottom